SERENGETI KUWA KITOVU CHA UTALII WA MICHEZO AFRIKA, UZINDUZI WA UWANJA WA...
Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETISerikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo...
View ArticleNGORONGORO YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA AFRIKA GHANA
 Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeshinda tuzo za kibiashara za Afrika zilizotolewa tarehe 17.Oktoba Mwaka huu jijini Accra nchini Ghana.Katika tuzo hizo zilizoshirikisha mataifa,taasisi na makampuni...
View ArticleRIWAYA YA ENTANGLEMENTS YAIBUA MJADALA KUHUSU MABADILIKO YA JAMII
 Riwaya mpya ya Kiingereza iitwayo Entanglements, iliyoandikwa na Julius John Lwenje, imezinduliwa ikiwa na dhamira ya kuichochea jamii kutafakari mabadiliko yanayotokea katika maisha ya kila siku,...
View ArticleTMDA YANG'ARA TUZO ZA PRST - YATWAA TUZO YA BEST MEDIA RELATIONS TANZANIA 2026
 Tuzo ya mshindi wa Uhusiano Bora na Vyombo vya Habari Tanzania 2026 (Best Media Relations in Tanzania 2026) aliyoshimda TMDA, 9, Oktoba.Dodoma:MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeendelea kung'ara...
View ArticleTADB YATOA TUZO KWA WANAFUNZI 13 BORA SUA, YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA...
 MOROGORO, Oktoba 7, 2026 | Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa tuzo kwa wanafunzi 13 wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2026, ikiwa ni...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 121 YA KUANZA KWA VITA VYA MAJIMAJI LEO
  Na Oscar Mbuza, KilwaMKUU wa Wilaya ya Kilwa Mohamed Nyundo atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 121 ya kuanza kwa vita vya Majimaji katika kijiji cha Nandete, Tarafa ya...
View ArticleWMA YATOA ELIMU YA VIPIMO KWA MAAFISA NA ASKARI WA JKT
Na WMAÂ - DodomaWakala wa Vipimo (WMA)Â Oktoba 1, 2026 ilifanya ziara ya kutoa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Makao Makuu ya Jeshi hilo...
View ArticleASNAT PHILBERT NDIYE MISS KARAGWE 2026
 KARAGWE: Binti Asnat Philbert ametwaa taji la Miss Karagwe 2026 katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia Septemba 27, 2026, chini ya maandalizi ya The Boom Vibe.Asnat mzaliwa wa Kata Kayanga...
View ArticleTFS YATUMIA MEL 2026 KUONYESHA FURSA ZA UHIFADHI, NYUKI NA UTALII
Na Omega ShemakalaARUSHA. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetumia Kongamano la Tano la Kitaifa la Wiki ya Ufuatiliaji, Tathmini na Ujifunzaji (MEL) 2026 kuonyesha namna uhifadhi wa misitu na...
View ArticleMUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA TZS. 23 MIL KUTOKA LIONS CLUB INTERNATIONAL
    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imepokea vifaa vya kutolea huduma za tiba aina ya Infusion Pumps vyenye thamani ya Shilingi milioni 23, vilivyotolewa na Lions Club International, ikiwa ni...
View ArticleSHEMDOE: MITAALA MIPYA KUJENGA MWANAFUNZI MWENYE UJUZI WA KUJIAJIRI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, amesema mitaala mipya ya elimu inalenga kumuandaa mwanafunzi kuwa na ujuzi wa vitendo utakaomwezesha kujiajiri na kuajirika...
View ArticleWANANCHI MBWAMAJI WAAZIMIA KUJENGA SHULE KWA GHARAMA ZAO
  Wananchi katika mkutano huo September 18, 2026,Mtaa wa MbwamajiNa Mwandishi Wetu, KigamboniWananchi wa Mtaa wa Mbwamaji, Kata ya Somangila, Wilaya ya Kigamboni wameazimia kujenga Shule ya Msingi kwa...
View ArticleTMDA YAWANOA WATAALAM WA AFYA KIBAHA KUHUSU DAWA TIBA ZENYE ASILI YA KULEVYA
 Na Mwandishi Wetu, Kibaha.MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) na Bohari ya Dawa (MSD), imetoa...
View ArticleMUHIMBILI YAPOKEA HADUBINI ZENYE THAMANI YA TZS. 70 MIL KUBORESHA HUDUMA ZA...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa mashine mbili za darubini zenye thamani ya TZS. 70 Mil kupitia mradi wa utafiti kwa wagonjwa wa saratani, zitakazoongeza uwezo wa wataalamu kufanya...
View ArticleMNH-MLOGANZILA YAFANYA UPASUAJI WA KUREKEBISHA, KUNYOOSHA NA KUREFUSHA MIFUPA...
 Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa kurekebisha mifupa kwa njia ya kunyoosha na kurefusha kwa wagonjwa wenye ulemavu wa mifupa inayojulikana kama Ilizarov...
View ArticleSERIKALI YAKAZA UDHIBITI WA UNUNUZI WA UMMA KWA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI
 DODOMA. Serikali imeendelea kuimarisha udhibiti wa ununuzi wa umma kwa kuhakikisha michakato ya ununuzi inafanyika kupitia mifumo ya kielektroniki, hatua inayolenga kuongeza uwazi, uzingatiaji wa...
View ArticleDR. KARANJIT ADVISES ON BRAIN AND SPINAL CORD TREATMENT IN DAR
 Dr. Karanjit Singh NarangA Senior Director of Neurosurgery at Medanta Hospital in India, Dr. Karanjit Singh Narang, has urged citizens with brain, spine and neck problems to seek professional advice...
View ArticleWATUMISHI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI WAONDOA SIKIO LA...
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wamejitolea kusaidia sekta ya elimu mkoani Mbeya kwa kuchanga fedha na kununulia Shule ya Sekondari ya Sinde mashine kubwa ya kisasa ya...
View ArticleDKT. KIJAJI: MOTO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO WADHIBITIWA KWA...
 Na. Philipo Hassan - KilimanjaroWaziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la...
View ArticleSHANGWE CHEM CHEM SAFARI LODGE WAKISHINDA TENA TUZO HOTEL BORA YA KIFAHARI...
Na. Mussa Juma, Babatimussasiwa@gmail.com KWA mwaka wa pili mfululizo, hoteli ya kitalii ya Chem Chem Lodge imeshinda tuzo ya hotel Bora ya kifahari barani Afrika katika tuzo ambazo ziliandaliwa na...
View Article