Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45985

Mwanafunzi Msanii Adhihirisha Kimo Chake Sio Kizingiti

$
0
0


Huenda yeye ndiye mwanafunzi mfupi mno nchini. Omar Juma, ana miaka kumi na sita, ana kimo chini ya mita moja tu, ila kimo chake, si dhihirisho la ustadi wake. Yeye ni mwanafunzi wa St. Joseph Ukunda kaunti ya Kwale, na licha ya kutomjua wala kutopata usaidizi na mwongozo wa baba mzazi, Omar, amedhihirisha kuwa ana malengo, ya kuwa mwigizaji bora siku moja, na kuwa kwenye safu ya majina

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45985

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>