DR. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA ULINZI WA INDIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya India Mhe. Sanjay Seth Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili...
View ArticleWATU SITA WAFARIKI KWA MATUKIO TOFAUTI BABATI NDANI YA WIKI
Na John Walter -BabatiWilaya ya Babati mkoani Manyara imetikiswa na mfululizo wa matukio ya vifo vya watu sita ndani ya wiki moja kati ya Aprili 8 hadi 14, mwaka huu wa 2025, vikiwemo vitendo vya...
View ArticleFEDHA ZISIZOTUMIKA HADI MWISHO WA MWAKA KURUDI MFUKO MKUU WA SERIKALI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali bungeni jijini Dodoma, lililoulizwa na Mbunge wa Tandahimba Mhe. Katani Ahmad Katani, aliyetaka kujua lini Serikali itarejesha...
View ArticleMABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI MBALIMBALI KUZINGATIA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambuliwa...
View ArticleKATIBU MTENDAJI TUME YA TAIFA YA MIPANGO AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE
Katibu Mtendaji Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa,akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson leo Aprili 16,2025 Jijini Dodoma mara...
View ArticleDKT. BITEKO AONGOZA MAELFU MAZISHI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta. Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya waombolezaji pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi...
View ArticleMCHENGERWA ATOA MAAGIZO MAHUSUSI KWA maRC na maDED
OR TAMISEMIWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wote wa mikoa kuwasimiamia Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia vipaumbele vya mwaka...
View ArticleWAZIRI MKUU AKAGUA UKARABATI ENEO LA MATANDU-SOMANGA MTAMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kuhusu juhudi za Serikali za kurejesha Mawasiliano ya Barabara zilizokatika kufuatia mvua zinazonyesha nchini wakati...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SENEGAL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika na Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Senegal Mhe.Yassine Fall...
View ArticleMAKAMANDA 100 KUTUA DAR KUMPA NGUVU TUNDU LISSU, CHADEMA KANDA YA SERENGETI...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara Chacha Heche (kulia)akikabidhi Ripoti ya Madhira uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita kwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti Lucas Ngoto.Na Marco Maduhu,...
View ArticleWASIRA AMEKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akisalimiana na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa alipokutana naye katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, mjini Tabora April...
View ArticleWAZIRI KOMBO AHIMIZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA UMOJA WA ULAYA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Rais wa Bodi ya Wakurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje, anayesimamia masuala ya Ulaya, na...
View ArticleAJALI YA AMBULANCE, GUTA YAUA WATU SABA IRINGA
Watu saba wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha gari la kubebea wagonjwa (ambulance) na guta iliyokuwa imebeba watu 22.Ajali hiyo imetokea leo asubuhi katika eneo...
View ArticleJUMUIYA YA MAKANISA YA CCT BABATI YAMUJUMUIKA IBADA YA IJUMAA KUU
Na John Walter -BabatiJumuiya ya makanisa ya CCT imejumuika leo katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), usharika wa Babati Mjini, Jimbo la...
View ArticleWANAFUNZI WA MUM WATINGA NBAA, ELIMU YA DARASANI YAKUTANA NA UHALISIA WA KAZI
Afisa rasilimali watu wa NBAA Emmanuel Mfingwa akitoa salamu za Bodi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno wakati wa ziara ya...
View ArticleSIMBA WAICHARAZA STELLENBOSCH
Goli pekee la Jean Charles Ahoua katika dakika ya 45+2 kwenye Uwanja wa Amaan, limeiwezesha Simba SC kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, katika mchezo wa kwanza wa...
View ArticlePAPA FRANCISKO AFARIKI DUNIA
Kardinali Kevin Joseph Farrell, ambaye ni Camerlengo alitangaza kwa masikitiko kifo cha Baba Mtakatifu Francisko, kwa maneno haya: "kaka na dada wapendwa ni kwa huzuni kubwa kwamba sina budi kutangaza...
View ArticleDKT BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KUANZA ZIARA YA SIKU TANO KATIKA MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Mara kuanzia tarehe 22 hadi 25 Aprili 2025. Ziara hii inalenga kukagua utekelezaji wa...
View ArticleVITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA
Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya...
View ArticleMHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AfG1-IMF
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Adran...
View ArticleMAADHIMISHO YA MUUNGANO 2025 KUFANYIKA KIMIKOA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akiwa na viongozi mbalimbali katika kongamano la Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleWAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 15 CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MAAFISA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zawadi ya Rais ya picha iliyochorwa wakati alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya...
View ArticleTPF - Net GALA YAPAMBA MOTO-SONGWE
Na Issa MwadangalaAskari Polisi wa kike Mkoani Songwe wajidhatiti kuendelea kiuchumi na kuwa na afya bora ya akili na mwili kwa kufanya semina, sherehe na midahalo mbalimbali ili kuendelea kujiimarisha...
View ArticleMAMIA WAMEJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA MRATIBU WA MISS TANZANIA
Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es...
View Article