WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB,MATAWI YA MAWENZI NA MBUYUNI MJINI MOSHI WAFANYA...
Wafanyakazi wa Benki ya NMB ,Matawi ya Mawenzi na Mbuyuni wakiwa katika Hospitali ya St,Joseph mjini Moshi kwa ajili ya zoezi la usafi pamoja na kutoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali...
View ArticleSHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA AFRICAID KUPITIA MRADI WA KISA LAWAKUTANISHA...
Muwasilishaji wa mada katika kongamano lililowajumuisha Wasichana wanaosoma kidato cha tano na sita katika shule mbalimbali mkoani Kilimanjaro, Nyamagesa Laban akizungumza katika kongamano hilo...
View ArticleMOSHI: KIONGOZI CHADEMA APATA AJALI MBAYA YA GARI
KATIBU Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Edward Simbeye amepata ajali ya gari. Simbeye alikuwa akitokea Dar es Salaam kwenda Moshi mkoani...
View ArticleUSHAHIDI DHIDI YA HALIMA MDEE KUMTUSI RAIS KUANZA NOVEMBA 8
Kesi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee anayedaiwa kutumia lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli itaanza kusikilizwa Novemba 8 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Usikilizaji utaanza...
View ArticleDiamond arekodi wimbo na rapa wa Marekani Rick Ross
By Elizabeth Edward, MwananchiDar es Salaam. Mkali wa bongo fleva Diamond Platnumz ameendelea kupeleka mbali muziki wake kwa kufanya kolabo za kimataifa.Safari hii Diamond ameonekana kuvuka mipaka...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wa Baraza la Marekani walipotembelea na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA MABALOZI WA SAUDI ARABIA, IRELAND NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Mhe.Mohammed Almalik(kushoto) aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar Es...
View ArticleWAZIRI UMMY ATOA MIEZI SITA KUANZISHWA MADAWATI YA ULINZI WA WATOTO SHULENI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi wa Tarime mkoani Mara na kutoa miezi sita kwa wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kuanzisha...
View ArticleVIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) akishikana mikono na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano ya...
View ArticleDICOTA announces 2017 Young Leader Scholarship Winner
DICOTA announces 2017 Young Leader Scholarship WinnerThe 2017 DICOTA Scholarship recipient is Jose Fabian Kabigumila. Mr. Kabigumila is a senior at Liberty University in Virginia. Mr. Kabigumila is a...
View ArticleWAFANYAKAZI BENKI YA TPB MKOA WA MBEYA WAUNGANA NA WATEJA WAO KUSHEREKEA WIKI...
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya TPB Mkoa wa Mbeya katika Picha ya pamoja katika sherehe za wiki ya huduma kwa mteja iliyofanyika katika Ofisi Kuu za TPB Mwanjelwa jijini Mbeya na kuhudhuriwa na wadau...
View ArticleWAAJIRI WA WATOTO WAFANYAKAZI WA NYUMBANI JIJINI MWANZA WALAUMIWA.
Mkufunzi wa mafunzo kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani katika Kata ya Buhingwa Jijini Mwanza, akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo hii leo. Mafunzo hayo yafanyika kwenye ukumbi kwa kanisa la AICT...
View ArticleRC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifungua kikao cha kamati ya ushauri cha Mkoa huo (RCC) kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi akizungumza...
View ArticleRejesheni Uadilifu, Uzalendo Nchini- Ole Nasha
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. William Ole NashaJonas Kamaleki- MAELEZO.Serikali yawataka watanzania kurejesha nchi katika misingi iliyoachwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE MKOA WA SHINYANGA OKTOBA...
Mkoa wa Shinyanga umeungana na mataifa mbalimbali duniani kuadhimisha ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 11 mwezi Oktoba.Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto...
View ArticleMBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE ZA MSINGI MANISPAA YA IRINGA
Mbunge wa viti maalam mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akiwa katika moja ya shule ya msingi akiwa katika ziara ya kutambua changamoto na kuzifanyia kazi ili ziwe na ubora...
View ArticleBALOZI SIMBA AFUNGUA KIKAO CHA WADAU KUJADILI MABADILIKO YA SHERIA BARABARANI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Usalama Barabarani, kinachojadili mabadiliko ya Sheria ya Usalama...
View ArticleTANZANIA BARA UHURU NIGHT AT SAFARI DC
Vijimambo Media & entertainment* invites you to celebrate Uhuru night Sat Dec 9, 2017 at Safari Club DC from 9pm till lateaddress 4306 Georgia Av NW, Washington, DC 20011burudika na muziki kutoka...
View Article