It’s Time to End Gender-Based Violence, Together
Tausi Suedi speaking at a White Ribbon Alliance for Safe Motherhood meeting in Dar es Salaam, Tanzania When it comes to human rights violations, those directed against women and girls, and in some...
View ArticleTUTAENDELEA KUMUENZI MAREHEMU SOKOINE-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Marathon ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya kifo cha Marehemu Edward Moringe Sokoine kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Aprili 6, 2019....
View ArticleWAHANDISI WATEMBELEA SHULE ZA MANYARA KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI
Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Joyce Mbunju, akielekeza jambo kwa wanafunzi wa...
View ArticleSIMAMIENI VIAPO VYENU: JAJI MSTAAFU SHANGALI
Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Jaji. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (wa tatu kulia) pamoja na Majaji wenzake wa Mahakama Kuu wakijumuika kumuaga kitaaluma Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA TIMU YA TWIGA STARS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo ameitembelea Timu ya Soka ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania almaarufu Twiga Stars katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli...
View ArticleMAMA NGULI WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSIN APATA TUZO YA MALKIA WA NGUVU
Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsin siku ya Jumamosi April 6, 2019 alipokea tuzo la malkia wa nguvu kwa kazi kubwa ya ubunifu wa mitindo na kunyanyua vipaji aliyoifanya kwa miaka yote alipokua...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI IBADA YA JUMAPILI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa...
View ArticleASYA IDAROUS KHAMSINI NA WAGENI WENGINE WAWASILI SWEDEN
Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini akiwasili Sweden tayari kwa kongamano la TDC Global litakalo aanza kesho Jumanne na kumalizika April 11, 2019.Mama mitindo Asya Idarous Khamsin (aliyesimama...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AMEWATAKA WALIMU KUWA WAZALENDO NA NCHI YAO
Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa jukwa la walimu wazalendo Mkoani Iringa Merysina Ngowi alipokuwa kwenye mkutano na walimu wazalendo mkoani Iringa kujadili maswala ya uzalendo...
View ArticleTBS Yatoa Elimu kwa Wananchi 22,322
Afisa Uhusiano (TBS) Neema Mtemvu akizungumzia umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora wake na TBS na wanafunzi wa shule ya msingi Malunga wilayani Kahama. Wanafunzi wa shule ya sekondari...
View ArticleNEC yaungana na familia ya kumhifadhi marehemu Nanyaro kijijini kwao Arusha
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao Nkomaala,...
View ArticleNdg Juma Abbas Mwingamno Mwenyekiti Serikali ya Mtaa wa Ferry Umuhi...
Kamati ya Mtaa Ina wajumbe 6 Huchaguliwa toka miongoni mwa wakazi wa mtaa Afisa Mtendaji wa mtaa ni katibu wa kamati ya mtaa Hujadili na kupitisha taarifa zote muhimu za mtaa ikiwemo mapato na...
View ArticleZul Manzi - "China is in East Africa" | Broadway Comedy Club
Tanzanian-American comedian Zul Manzi recently performed stand up comedy at the Broadway Comedy Club in New York City on Friday. Zul Manzi is 21 years old from Springfield, MA and has performed stand...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI CHA MLALE JKT SONGEA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MASHAMBA YA MAHINDI YA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Phaustine Kasike mara baada ya kuwasili katika eneo la Mashamba ya Mahindi ya...
View ArticleWAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA SERENGETI BOYS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa kombe kutoka Nahodha wa timu ya Serengeti Boys, Morice Michael katika ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda, April 7,2019, kufuatia timu hiyo kuibika...
View ArticleASYA IDAROUS KHAMSIN ATINGA JENGO LA UBALOZI WA TANZANIA SWEDEN
Mwana mitndo nguli Asya Idarous Khamsin na wanDiaspora wengine mapema leo baada ya kuwasili Stockhom, Sweden kwa ajili ya kongamano la Diaspora lililoandaliwa na TDC Global. Katika picha Asya Idarous...
View Article