Baadhi ya wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wakimskiliza Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka hayupo pichani alipokua akitoa maelezo kuhusu muundo upatikanaji wa viwango kwa tasisi kusika.


Katibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Julian B. Raphael akizindua kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar (kulia) Prof. Ali Seif Mshimba na (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salu.
Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka aliyesimama akitoa elimu juu muundo upatikanaji wa viwango kwa tasisi kusika katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar.

Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.