luke Music Factory inependa kuwakaribisha tena Safari Club leo Jumamosi March 15, 2014 kiota kinachoongoza kwa muziki wa Bongo Flava. Karibu ujisikie upo nyumbani. pia tuakua na Birthday Bash ya Ssusan kutoka Malawi. Fika Jumuike pamoja Kioata chenye burudani ya kimataifa.
