Mwenyekiti wa Tawi CCM DMV Bwn. George Sebo pamoja na mwenyekiti wa Vijana wa tawi CCM DMV bwn, Mwilima wakiwa hospitalini 12 Irving St, NW, Washington, DC National Rehabilitation Hospital, 2East Room 216 Bed 1 walipomtembelea mgojwa wetu Elisha Eric Bahunde aliyepata ajali na kukatika miguu yote na mkono wa kulia.
↧