Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Mitihani la Tanzania wakifuatilia uzinduzi huo |
Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Mitihani la Tanzania wakiwa katika pozi la picha wakati wa sherehe za uzinduzi wa vitabu vya matokeo |
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa vitabu vya matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka 2012