Heri ya mwaka mpya kutoka NC. Baadhi ya wabongo waishio NC waliukaribisha mwaka 2014 kwa furaha na upendo. Shughuli hio ilifanyika nyumbani kwa Bahati (Dj B) na Teddy.
![]()
![]()
![]()
Bahati na Teddy wakipata U-Kodak moment kwenye photo booth walioianda kwa ajili ya wageni wao.
Changamsha mdomo ilikuwepo nayo kama kawaida.
Dj B akiwa na mmoja wa wageni wake Angie kutoka Charlotte .
Mzee wa kazi mwenyewe Kempriva Kambimtoni alikua ndani
ya nyumba, kuingiza mwaka wa 2014.
wageni waalikwa nao walipata U-Kodak moment walipo wasili
katika usiku huo.
Kaka yetu Simon hakukosekana akiwa na Binti Angie.
Ommy Guy aka Mwana wa Njenje nae akipata picha moja mbili
Wageni waalikwa wa nao wakimwaga pozi zao katika kuuaga
mwaka 2013.
Shughuli ili fana , mama mwenye nyumba akiwakaribisha wageni wake
bila kusahau kupata U-Kodak moment.
Count down ilianza ya kuingiza mwaka 2014
Mc Talakia akiwashukuru wageni wote waliweza kufika
katika usiku na kuwaombea kheri ya mwaka 2014.
Baada ya mwaka 2014 kuingia sala ilisomwa na mmoja wa
Ndugu yetu.
watoto nao wakisikiliza ombi la kuukaribisha mwaka mpya.
Mahanjumati supaa kabisa yalikuwepo na watu walijichana kama kawa.
Mabusu tele tele ya mwaka mpya
Ommy Guy aka Mwana wa NJenje anawataki nyote kheri ya mwaka 2014.
Mduara ulizungushwa na mpaka wageni nao wajiachia.