Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

CHADEMA DMV, USA, SALAMU ZA RAMBIRAMBI

$
0
0

Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) DMV, USA, tumepigwa butwaa na mshituko mkubwa kupokea habari ya kifo cha dada yetu, Zainabu Buzohela, kilicho tokea January 4, 2014.  Tawi la CHADEMA DMV tunatuma salamu za rambirambi kwa mume wa marehemu Ndg. Dullah, dada mdogo wa marehemu Bi. Ngalu, familia , ndugu jamaa na marafiki wa marehemu Zainabu.


Tawi la CHADEMA, DMV, tupo pamoja na ndugu, jamaa, marafiki wa marehemu Zainabu na waTanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza dada yetu.

KAZI YA MOLA HAINA MAKOSA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>