Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

MKUTANO WA EMPOWERING AFRICA WITH ELECTRICITY WAFANYIKA NEW YORK CITY NA KUHUDHURIWA NA WATANZANIA MBALI MBALI

$
0
0
Hapa ni Mr. Paul Mwafongo Minister Plenipotentiary, Economics Affairs kutoka Washngiton.DC akiongea jambo katika mkutano huo uliofanyika New York City. Mkutano huu ni matunda ya rais Obama alivyo tembelea Tanzania na kutoa ahadi ya kusaidia Tanzania katika sekta ya umeme.
Hii ni hotuba ya rais Obama aliyotoa Ubungo Tanzania juu ya mpango huo wa African Energy Initiative.
Meza kuu ya viongozi wa mkutano huo wakiongea na kujibu maswali juu ya mipango na dhumuni  kuu la mkutano huu.
Watu waliojitokeza wakisikiliza kilichokuwa kinaendelea katika mkutano huo, Kama unavyoona mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania New York Hajji Khamis ni mmoja kati ya Watanzania waliohuzuria mkutano huo kama anavyoonekana katika picha hii.
Watu waliweza kuuliza maswali na kujibiwa papo kwa hapo.
Jessica Lunjwangana alikuwepo pia

Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera (kushoto) katika picha ya pamoja na Jessica Lunjwangana


Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>