
Wataalamu wa maswala ya mabomu wakiwa kazini.
Bahasha hiyo iliyoleta taharuki leo jioni siku ya Ijumaa Jan 31, 2014 ilitumwa kwenye hotel moja iliyopo karibu na uwanja utakaochezewa Super Bowl itakayowakutanisha timu ya Seattle na Denver, Poda hiyo mwanzo ilifananishwa na aina ya madini yanayotumiwa kutengenezea mabomu.