Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF wakataa maoni na ushauri uliotolewa na msajili wa vyama vya siasa nchini

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed MazruiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIImetolewa leo Tarehe -25/9/2016Na NASSOR MAZRUIKAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA IMEKATAA MAONI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA MSAJIRI WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODABODA MIRERANI WATAKIWA KUJIPANGA KULIPIA LESENI YA USAFIRISHAJI

Mkuu wa Kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Evarest Makala akizungumza juzi na wamiliki na madereva wa pikipiki katika warsha iliyoandaliwa na mamlaka ya udhibiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IPTL, PAP waungana na Tanesco kupinga kuilipa Standard Chartered

Sakata  la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), kugeuziwa kibao kwa kutakiwa kurejesha zaidi ya Dola za Marekani milioni 100 ambazo ni zaidi ya Sh bilioni 216.2 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili wa Vyama: Sikumrudishia Lipumba uenyekiti CUF, Kajirudisha Mwenyewe...

Wakati  wanasiasa na wasomi wakimnyooshea kidole Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (pichani) kwa uamuzi wake wa kumtambua aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, mwenyewe...

View Article

Kichupa cha leo Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome ( Traditional Official...

K

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KWINGWA ATEKETEZA NYUMBA 120 ZILIZOJENGWA KATIKA HIFADHI

Mkuu wa Wilaya ya Urambo Angelina Kwinga akihutubua wananchi wakati Tigo walipotoa madawati mia moja kanda ya ziwa.Na Mussa Mbeho, Urambo.MKUU wa wilaya ya Urambo Angelina Kwingwa amefanya operesheni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAR ES SALAAM-THE CITY WILL BE HOST TO THE LARGEST RELIGIOUS GONGREGATION IN...

Ashara Mubaraka are the first 10 days of Moharram, that mark the martyrdom of Imam HusainAS, grandson of Prophet MohammedSAW, that took place fourteen centuries ago. This is a very important religious...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAVE THE DATE POSTER

We are once again planning HMT Annual Fundraising Event 2016 (AFRE16) to be held on 25th November 2016 at Diamond Jubilee (VIP HALL).Our last Annual Fundraising Event (AFRE14) we managed to collect...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE BONNAH KALUWA ACHANGISHA MILIONI 13.7 UJENZI KITUO CHA YATIMA

Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kaluwa akinadi vitu mbalimbali katika harambee hiyo kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha kutoa huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu eneo la Tegeta,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ERICK MASHAURI AELEZEA JINSI VAT INAVYOATHIRI BIASHARA UTALII

Aiomba serikali kupitia tena ongezeko hiloKufuatia serikali kupitisha muswada wa ongezeko la VAT kwa watalii ambao wanakuja nchini kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali, MO Blog imepata nafasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI MKALI WA KUSUKA DAR??? SUKA SUKA YAPIGA HODI KAA CHONJO KAMA WEWE NI MSUSI

#SukaSuka ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa speed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI ATEMBELEA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili Mjini  Zanzibar kwa kutumia Boti wakati alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi mapema leo Septemba 2016. Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MRADI UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA FUMBA.

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASIMAMISHA KAZI MAOFISA MISITU WANNE, APIGA ‘STOP’...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Maofisa Misitu wanne na kusimamisha shughuli za uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Rufiji kwa muda usiojulikana baada ya kutoridhishwa na usimamizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAILALAMIKIA TAZARA KWA KUFUNGA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mafundi wa Shirika la Mamlaka ya Reli  Tanzania na Zambia (Tazara), wakikarabati Reli katika makutano ya Reli na Barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam jana. Wananchi wakivusha relini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASWIRA KUTOKA MKUTANO WA BARAZA KUU LA 71 LA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa katika Mkutano wa Mawaziri wa Nje wa nchi za Jumuiya ya Madola.Waziri Mahiga akibadilishana mawazo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sultanate...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UANGALIZI WA AFYA WA BURE NA MENGINEYO SILVER SPRING, MARYLAND

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA ZARI ILIVYOBAMBA VISIWANI ZANZIBAR

Diamond Diamond na mpenzi wake Zari.Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.Mwanamuziki Diamond akiwa katika mapozi tofauti na mchumba wake Zari na baadhi ya marafiki zao.Mwanamuziki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA MANUSURA KUCHOMA KITUO CHA ZIMAMOTO

By Suzy Butondo, MwananchiShinyanga. Wafanyabiashara katika soko la nguzo nane Kata ya Kambarage Manispaa ya Shinyanga, wamevamia kituo cha jeshi la zimamoto kilichopo katika maeneo ya soko hilo baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'PANYA ROAD' WAIBUKA UPYA NA KUTESA WANANCHI MOSHI BAA JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleKUNDI la uhalifu la watoto wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 maarufu kama panya road linatishia usalama wa wananchi na mali zao maeneo ya Moshi Baa na vitongoji vingine katika...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>