Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI AZIKWA KIISLAM

Mwili wa mchungaji Amani Rubeni Mirumbe ukiagwa.Na Chande AbdallahMaajabu! Mchungaji wa Kanisa la Pentecostal Spirit and Truth, Amani Rubeni Mirumbe ameushangaza ulimwengu kwa kujitabiria kifo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE YAPITISHA MPANGO WA...

Mwenyekiti wa Vibindo, Gaston Kikuwi akiongoza ni Wajumbe wa kamati ya afya ya halmashauri ya mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) kutoa pongezi wa waheshimiwa madiwani kuweza kupokea kwa mikono miwili mpango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuna njama kuvuruga Bunge

Dodoma/Dar. Kuna njama. Maneno haya mawili ndiyo yametumiwa na pande mbili zinazopingana ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, kuelezea hali iliyojitokeza jana wakati wa kikao cha Bunge hilo kuhusu mvutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita.Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

A woman abandoned as a baby in the bathroom of a Burger King restaurant has...

Katheryn Deprill said she met her biological mother for the first time on Monday in the office of a lawyer after her appeal on Facebook was successful.Ms Deprill said she felt "pure joy" and it was...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif awasha moto Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametangaza kuwa njia pekee ya kunusuru Muungano ni kuuundwa kwa kwa serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI

Na Saidi MkabakuliMaendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI

Meneja Mkuu wa kampuni ya Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho, akielezea mchakato wa kumpata 'Mwanamke wa Mwaka' utakavyokuwa. Kushoto ni Mratibu wa Matukio wa Global Publishers, Luqman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN...

 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA...

View Article


KWA NINI WANAWAKE HAWACHAGUANI?

Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

2014 SUSAN G. KOMEN GLOBAL RACE FOR THE CURE

This year Team Tanzania is participating again in the Susan G. Komen Global Race for the Cure in Washington D.C. The race will take place on Saturday, May 10, 2014 at 7:00am. Please support Team...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA...

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na wanaDMV siku alipokaribishwa rasmi siku ya Jumamosi November 9, 2013 Lanham, Maryland (picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW YORK TEAM MAMBO MAZOEZI YANAENDELEA JUMAPILI HII KUANZIA SAA 6 MCHANA...

Mazoezi yana endelea jumapili hii maandalizi ya mechi na DC. Mchezo huo utafanyika siku ya memorial  tarehe 24 mwezi wa tano  huko Washington DC. Mazoezi yatafanyika kwenye uwanja wa Highland Park,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NIPE TANO

Kocha wa Prisons, David Mwamaja alisema: “Tulizidiwa na Yanga kila sehemu na wote mmeona hali ilivyokuwa, tunarudi Mbeya kujipanga na mechi ijayo dhidi ya Mbeya City.” Prisons inapambana kusalia kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILY FIRST

H. Baba athibitisha kuwa kuwa yeye ni baba bora wa familia kama unavyoona hapa akiwa na mtoto wake mgongoni.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif azungumza na Wanahabari Dodoma. kuhusiana na Mwenendo wa Bunge la...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wana Habari hawapo Pichani kuhusu muenendo wa Bunge la Katiba unaoendelea Mjini Dodoma.Balozi Seif akizungumza na Wana Habari waliojumuika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI

Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji.Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMORIAL WEEKEND EXRAVAGANZA THREE NIGHTS TO PARTY

View Article

MWANAUME HUYO ANAITAJI MAOMBI SIYO BURE

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>