MVUA DAR ZASABABISHA MTI KUANGUKA NA KUZIBA BARABARA ENEO LA MWENGE
Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge.Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo katika...
View ArticleBALOZI MULAMULA ASIMIKA UONGOZI MPYA WA JUMUIYA HOUSTON
Siku ya jana Jumamosi March 29, 2014, Jumuiya ya Watanzania Houston ilifanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Shughuli zilifanyika katika ukumbi wa Turquoise Center ulioko West Bellfort...
View ArticlePRESS RELEASE;Zanzibar Photographic Journey- 50 Years of the revolution
Zanzibar Photographic Journey- 50 Years of the revolution was presented to Vice President of the United Republic of Tanzania , Dr Mohammed Gareeb Bilal.Javed Jafferji is an exclusive interview said"...
View ArticleTASWIRA YA AROBAINI YA ASHA MKAMBAVANGE KIBODYA HUKO SPRINGFIELD
Mashekhe wakisoma kwenye Arobaini ya dada Asha Mkambavange Kibodya iliyofanyika Al Baqi Islamc Center 148, Springfield.MA na kuhudhuriwa na wa Tanzania wapande za New York, DC na Massachusetts.Ustadh...
View ArticleYANGA 1 - 2 MGAMBO BAADA YA KIPIGO HICHO YANGA UBINGWA WAWEKA REHANI KWA...
Young Africans leo imepoteza mchezo wake wa pili katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1 na wenyeji timu ya Mgambo Shooting ya Handeni katika mchezo uliofanyika kwenye...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area...
View ArticleMH:MWIGULU NCHEMBA ACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA RUKWA,AZINDUA...
Naibu Waziri wa Fedha(Uchumi) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba akikata Utepe na Kuzindua rasmi Albamu ya Nyimbo za Injili Zilizoimbwa na Bi.Rehema.Tukio hili limefanyika Victory...
View Articlehaki ya kuzaliwa tanzania
CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA NEW- ZELAND83 Grafton Road, Auckland, New -ZelandMarch 30, 2014YAH: TAMKO KUHUSU HAKI ZA KUZALIWA ZA WATANZANIA ZETU ZA KUZALIWA KAMA WATANZANIAKATIKA KATIBA YA MUUNGANO WA...
View ArticleMABONDIA JUMA FUNDI NA BAINA MAZOLA WASAINI KUTWANGANA MEI 11 MABIBO MWISHO
Bondia Juma Fundi kushoto akitinishiana misuli na Baina Mazola baada ya kusaini mkataba wa kupigana Mei 11 katika ukumbi wa DID HALL Mabibo Mwisho Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi kulia...
View ArticleWANAHARAKATI WAMUUNGA MKONO JK KUPAMBANA NA UJANGILI
Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindua rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada...
View ArticleSPEAKER OF EAST AFRICAN LEGISLATIVE ASSEMBLY (EALA) FACES REMOVAL FROM OFFICE!
According to East African Legislative Assembly rules and understandings, the speakership is rotational. As it is, the current Speaker is from Uganda. Her name is Margaret Nantongo Zziwa [in the photo...
View ArticleAFRO-CARRIBEAN INTERNATIONAL NIGHT @ SAFARI CLUB
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB JUMAMOSI APRIL 5, 2014 KIOTA CHENYE VIONJO VYA MUZIKI WA KITANZANIA NI USIKU WA KIMATAIFA WA AFRO- CARIBBEAN KARIBUI SANA
View ArticleWarioba amshukia Prof Shivji
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa gazeti hili, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana. Picha na Edwin...
View ArticleAjali mbaya yaua watu 22 Rufiji
Wananchi wakiangalia daladala iliyopata ajali juzi usiku katika eneo la Kijiji cha Mkupuka, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Picha na Amini YasiniRufiji: Siku moja baada ya ajali kuua watu 12 wilayani...
View ArticleOFISA WA JWTZ AHUKUMIWA KIFUNGO JELA KWA KUGHUSHI
Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Muhsin Kombo amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi. Hakimu Mkazi Waliarwande Lema wa...
View ArticleBunge la Katiba kuanza kazi rasmi leo
Dodoma. Wakati Bunge la Katiba leo linaanza kujadili sura mbili za Rasimu ya Katiba ambazo zitalenga Muundo wa Muungano, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umewataka wajumbe wake kutokuondoka Dodoma...
View ArticleMVUA KUBWA ILIZONYESHA LINDI YABOMOA DARAJA LA NYANGAO
DARAJA la MTAMA Llilokatika Tarehe 26/3/2014 na kuzuia mawasiliano ya barabara kati ya lindi na newala kwenda Tandahimba mkoani Mtwara.Baadhi ya abiria walionasa kufuatia kukatika kwa daraja Nyangao...
View ArticleBawacha: Mawazo ya wananchi rasimu ya katiba yaheshimiwe
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limesisitiza kuwa mawazo ya wananchi ambayo yamo kwenye rasimu ya katiba ndiyo yanayopaswa kujadiliwa kwenye bunge maalum la katiba na...
View Article