WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA...
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi...
View ArticleUSIKU WA TAARABU ASILIA ‘OLD IS GOLD’ KUFANYIKA REGENCY HOTEL JUMAPILI HII
Na Andrew ChaleWAPENZI wa nyimbo za zamani za taarabu asilia nchini Jumapili hii ya Aprili 6, wanatarajiwa kupata burudani safi na ya aina yake kutoka kundi la Spice Modern Taarab, ndani ya ukumbi...
View ArticleADF Planning To Attack Schools – Kayihura
The Inspector general of Police Gen. Kale Kayihura has stressed that they have received information that Allied Democratic Forces (ADF) terrorist cells within the Central and Eastern regions are...
View ArticleKASHFA NZITO ILALA: Majalada ya walimu shule 107 yatoweka kitatanishi
Hali ya sintofahamu imeikumba Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, baada ya majalada yenye nyaraka na kumbukumbu muhimu za walimu wa shule 107 za halmashauri hiyo kudaiwa kuwa...
View ArticleBarabara mpya mbioni kujengwa Dar
Ili kupunguza foleni jijini Dar es Salaam Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), umetangaza kujenga barabara sita katika jiji.Mikataba ya ujenzi huo ilisainiwa jana jijini na kampuni mbili zimepewa kazi...
View ArticleMAMBA MLA WATU AKAMATWA ZIWA VICTORIA..JIONEE MWENYEWE HAPA...!
Mamba aliekua akiishi katika ziwa Victoria mwenye umri wa miaka 80, mwenye uzito unaokadiriwa kukaribia tani moja amekamatwa katika ziwa Victoria upande wa Uganda ni baada ya wananchi kulalamika kuhusu...
View ArticleRais Kikwete aagiza shamba la Efatha Ministry lirejeshwe kwa Wananchi
Taarifa ya maandishi via HabariLeo, Taarifa ya video via Ahmad Michuzi/MMG -- Rais Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya...
View ArticlePope Francis meets Tanzanian Bishops
On Friday morning, Pope Francis welcomed members from the Tanzania Episcopal Conference, at the Apostolic Palace.
View ArticleGazeti la Mawio matatani kwa kuchapisha katuni hii
A TEST TO FREEDOM OF EXPRESSION. BELIEVE IT OR NOT:In the midst of the debate on two or three-tier government, MAWIO - a weekly newspaper in Tanzania, published this cartoon. Now the Registrar of...
View ArticleJIONEE TEMBO HUYU MWENYE HASIRA KALI ALIVYO MTANDIKA KIBOKO...!
Hivi unajua wewe kila siku nakuangalia tuu..... sasa leo nitakuonesha kazi ....... ni kama huyu Tembo alikuwa akiyasema maneno haya. nisamehe nakufaaa.".. ni kama Kiboko huyu alkuwa akimwambia Tembo...
View ArticleProf. Shivji: Sifanyi uchambuzi kwa ajili ya matakwa ya wanasiasa.
KWA NINI MIJADALA MINGI IMEIBUKA KUHUSIANA NA HAWA WAZEE?JE NINI TOFAUTI YAO? Awashangaa Lissu, Jussa kujilinganisha nayeWasomi wawaita wanasiasa wapiga keleleMWANAZUONI Mwandamizi nchini, Profesa...
View ArticleMAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU
Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.…Wakali wa kundi la...
View ArticleINAWEZEKANA KABISA WATOTO WA MITAANI WANG'ARA KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL...
Tanzania yatinga Fainali ga Kombe la Dunia kwa Watoto wa MitaaniKwa mara ya pili mfululizo timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani kutoka Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto...
View ArticleWANANCHI JIMBO LA CHALINZE KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO
BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo...
View ArticleSekta ya Nishati mwiba mchungu
Mafundi wa Shirika la umeme Tanesco wakihangaika kurekebisha nyaya za umeme ili wananchi waweze kupata huduma. Picha na Maktaba.Dar es Salaam. Sekta ya nishati imebainika kuweka historia mbaya nchini...
View ArticleRAISI KIKWETE APIGA KURA YA KUMCHAGUA MBUNGE KATIKA JIMBO LA CHALINZE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati...
View ArticleDual citizenship is Good for Tanzania
Tanzania’s constitution is one of the surviving few that make a natural born citizen revoke his/her citizenship upon naturalization in another country. Ironically, foreign nationals from other...
View Article