TPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKAONI LINDI
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya...
View ArticleWASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili...
View ArticleWATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA...
Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa wanafunzi wanaosoma Beijing, China (TzBeijing ) Bw.Philip Daninga akiongea na wanachama wa umoja huo muda mfupi kabla ya zoezi la kupiga kura lililofanyika...
View ArticleMWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya...
View ArticleKUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’- GPL
Elizabeth Michael 'Lulu'.Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram (@Officiallulumichael):Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo...
View ArticleBalozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa...
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya...
View ArticleMAPENZI KATIKA SURA PANA YA NYAKATI
UNAPOANZA safari ya mapenzi, shika muongozo huu na uuamini. Amini katika mapenzi siku zote. Siyo tu yenyewe kama maneno, bali mapenzi katika maana na mzani wake sahihi. Amini kuwa zipo nyakati ngumu...
View ArticleTIMU YA WATOTO WA MITAANI YAPONGEZWA KWA KUWA BINGWA WA DUNIA KATIKA SOKA...
''Tunaipongeza timu ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani kwa kutwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada ya jana (Aprili 6 mwaka huu) kuifunga Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa...
View ArticleRAIS JAKAYA, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticlePistorius aomba radhi kumuua Reeva
Mwanariadha mwenye ulamavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius ameangua kilio mahakamani na kuimba radhi familia ya Reeva Steenkamp kwa kitendo chake cha kumuua mpenzi wake huyo.Akiwa mwenye hisia na...
View ArticleKagame Blames France, Catholics, Belgium On Genocide
President Kagame and UN chief Ban Ki-moon lit the torch., topTony Blair and Thabo Mbeki were among the foreign guests at the ceremony.The commemoration today marks 20 years since the downing of plane...
View ArticleTASWIRA ZINGINE ZA BIRTHDAY YA NY EBRA NYUMBANI KWAKE NEW YORK WEEKEND...
Dj Luke Joe toka jiji la watunga shereia akiwajibika katika party hiyo ya ndani kwa ndani. Ni mambo ya Vijimambo NY na Vijimambo DC live bila chenga katika kiwango cha (HD). Kulia ni Denzel aliyejenga...
View ArticleMH. MWANDOSYA AONGOZA MAADHIMISHO YA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA...
Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho....
View ArticleMuslim leaders criticise security swoop as Coast remains calm
A section of Muslims during a press conference in Nairobi addressed by various leaders. They criticised the police crackdown in Nairobi and Mombasa. Photo/WILLIAM OERIA section of leaders from the...
View ArticleJITIRIRISHE NA HILI JUU YA FLAVIANA MATATA
Flaviana Matata, Herriet Paul na Simone Awor, wawakilisha East Africa Kwenye African TOP Kuna uwezekano mkubwa sana kuweza kuwafamu MODELS wakubwa wa AFRIKA kama African Fashion Models Alek Wek ,...
View Article