JAJI APIGA MARUFUKU AMRI YA TRUMP KURUDISHA WAHAMIAJI MAKWAO
Mahakama moja ya New York imeridhia ombi la wanaharakati waliokwenda mahakamani kupinga amri za Rais Trump za kupiga marufuku wakimbizi wa Syria na raia wengine wa nchi sita za kiislamu kwamba...
View ArticlePICHA: DUNIA YAMPINGA TRUMP BAADA YA MARUFUKU KWA WAISLAMU KUINGIA MAREKANI...
Uamuzi wa Donald Trump kupiga marufuku wahamiaji wa kiislamu kutoka kwenye nchi zenye raia wengi wa dini hiyo, umesababisha hasira kuu duniani kote na wahamiaji wakikataliwa kupanda ndege kuingia...
View ArticleUZINDUZI WA WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA KUZALIWA KWA CCM..KONGAMANO...
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Shinyanga Mjini katika mkoa wa Shinyanga kimefanya Kongamano ikiwa ni uzinduzi wa wiki ya Maadhimisho ya miaka 40 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM tarehe...
View ArticleMAJALIWA ATEMBELEAWA NYUMBANI KWAKE NA MFANYABIASHARA SABODO
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea....
View ArticlePOWERFUL PROPHETIC SERVICE IN DMV TODAY
SERVICE IS ABOUT TO SARTMy countdownCountdown.tcw:after { content: ""; display: block; margin-top: 25%; }POWERFUL MAN OF GODPROPHET RICHARD GODWININVITED ALL DMV'ANS.
View ArticleMISA YA SHUKURANI DMV
Familia ya Michael na Grace Mnkande, wanapenda kukukaribisha kushiriki katika misa ya shukurani ya marehemu mama yao mpendwa, mama Rose Mnkande itakayofanyika Feb 4, 2017, saa 2:00pm hadi 5:00pm,...
View ArticleBREAKING NEWS:TRENI YA ABIRIA DELUX YAPATA AJALI IKITOKEA KIGOMA KUJA DAR ES...
NA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidTRENI ya mwendo haraka, (DELUX), iliyokuwa ikitokea Kigoma kuja jijini Dar es Salaam, imeanguka eneo la Ruvu mkoani Pwani jioni hii ya Januari 29, 2017.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleHAPPY BRTHDAY
VICTORIA HANSI WA SAO PAULO. BRAZIL Tmu ya vijimamboblog na wadau wake wanakutakia khery ya siku yako ya kuzaliwa
View ArticleVIDEO: WAELIMISHAJI CREW WALETA UJUMBE MZITO KWA NJIA YA VIDEO KUHUSU NDOA
Ni simulizi ya kweli inayo lenga kuelimisha jamii kuhusiana na suala la ndoa katika karne ya sasa. Kumekuwa na sababu za hapa na pale zinazo pelekea vijana wengi kuchelewa au kushindwa kabisa kuoa na...
View ArticleTASAF YAWAINUA WANANCHI KUICHUMI
Na Mussa Mbeho ,KataviMfuko wa maendeleo ya jamii TASAF Mkoani katavi umesaidia kuwainua kiuchumi wanachi baada ya kuwapatia fedha na kuazisha miradi mbalimbali ya maendeleo katika kaya zao.Wakizugumza...
View ArticleHALMASHURI YA NSIMBO YAPITISHA BAJETI YA BIL 24.9
Na Mussa Mbeho,KaTaviBARAZA la madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Nsimbo mkoani katavi limepitisha makisio ya bajeti yake ya maendeleo ya kiasi cha sh 24,886 ,569,000 Kwa ajili ya kufanikisha...
View ArticleMLIMBWENDE WA SHINDANO LA MISS KIBOSHO 2017 JIJINI MWANZA APATIKANA.
Baada ya mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa shindano la MISS KIBOSHO 2017 kufanyika kwa mara ya kwanza usiku wa ijumaa Januari 27,2017 na jana jumamosi Januari 28,2017 katika Ukumbi wa Kibosho...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina...
View ArticleBALOZI SEIF AKAGUA MRADI WA TASAF KATIKA BONDE LA KIDAU NDAGONI
Mhandisi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo naUvuvi Pemba Nd.Talib Bakari kushoto akimkaguza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kuangalia Tuta la kuzuia Maji ya Bahari...
View ArticleALIKIBA YAZINGATIE MALALAMIKO YA MASHABIKI WAKO
Ali Saleh Kiba al maarufu kama Alikiba ni miongoni mwa wasanii wakongwe na wakubwa Tanzania, Afrika Mashariki na pengine Afrika kwa ujumla. Ni mshindi wa tuzo zaidi ya 14 kwa mwaka 2016 ikiwezo tunzo...
View ArticleKISOMO CHA MPENDWA MAMA JAMILA FUNGAMEZA KILICHOFANYIKA LANGLEY PARK...
'hakika kila nafsi itaonja mauti' kifo kila mmoja atakutana nacho, atapita njia hiyo, ujumbe mzito tujiandae na safari hiyokaka Pius Mutalemwa akiweka ubani kwenye kietezo kumuombea dua marehemu mama...
View Article