HUU NDIO UKWELI WA BEEF LA KAJALA NA WEMA.
Ushaisikia ile beef ya mashosti hawa wawili hapa bongo ile story iliyotikisa jiji kutokea kwa jambo ambalo hakuna mtu aliyewahi kudhani linaweza ku-happen?,hapa tunamuongelea Diva mwenyewe the CEO wa...
View ArticleHII NDIO NDEGE YA AJABU ILIYOTENGENEZWA HUKO KENYA.
Nchini Kenya kuna Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Naivasha ambae katengeneza ‘Ndege’ yake ambayo toka ameanza kuiunda alisema lazima ipae huku akiwa katumia vifaa mbalimbali kutoka kwenye Bajaji...
View ArticleFIFA YATOA VIWANGO VIPYA VYA UBORA WA TIMU
Bara la Ulaya sasa hivi ndio linashika nafasi tatu za juu kwenye ligi ya FIFA/Coca-cola World Cup baada ya Portugal kupanda mpaka namba tatu ikiwafata Ujerumani kwenye nafasi ya pili na Spain kwenye...
View ArticleUrusi yatumia kawi kuishurutisha Ukraine
Kawi ya gesi inatumiwa na Urusi kama silaha ya kuishurutisha Ukraine.Marekani imelaani kile imekitaja kuwa hatua ya Urusi kutumia kaiwi kama chombo cha kuishurutisha Ukraine.Msemaji wa wizara ya...
View ArticleMGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI IGUNGA,MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AZUNGUMZA NA...
Aliyesimama ni Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga akizungumza na wananchi wa kijiji cha Magalata wilayani Kishapu kuhusu vurugu zilizotokea wiki iliyopita wakati wa mapigano baina ya...
View ArticleUN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR
Kikosi cha kulinda amani cha umoja wa Afrika katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kutuma kikosi kipya cha wanajeshi wa kulinda amani...
View ArticleSETH ATINGA KANISANI NA GITAA LA KANUMBA
MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa Kanumba, Seth Bosco hivi karibuni alitinga kanisani akiwa amebeba gitaa alilokuwa akilitumia Steven Kanumba enzi za uhai wake. Msanii wa filamu ambaye ni mdogo wake...
View ArticleHUU NI USHAHIDI TOSHA KUWA YANGA ITACHEZA NA PANONE FC TAREHE 15 APRIL 2014...
Hii ni barua iliyotoka kwa club ya YANGA kujibu barua ya Panone and Company Ltd. kwa kukubali kucheza mechi ya kirafiki na mabingwa wa mkoa wa Kilimanjaro katika ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa,...
View ArticleWaathirika mabomu ya Mbagala waishinda Serikali mahakamani
Bomu likiwa limeharibu moja ya nyumba iliyopo katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam. Picha na Maktaba Kwa ufupiWaathirika hao ambao nyumba zao ziliharibiwa kwa mabomu, wamefungua kesi Mahakama...
View ArticleEfatha yapinga kunyang‘anywa shamba na kuhoji, wamekoma lini kuwa Watanzania?
Bodi ya wadhamini ya huduma ya Efatha, ambao ni wamiliki wa shamba la Efatha, imemjibu katibu mkuu wa CCM, Abdulrahamn Kinana kutokana na kauli yake kuwa atahakikisha Serikali inanyang’anya shamba hilo...
View ArticleMvua kubwa: Abiria wakwama, Dereva nusura apoteze uhai
Baadhi ya wasafiri na wanakijiji wakitizama daraja la Kirurumo lililoharibiwa kwa mafuriko leo na kukata mawasiliano kati ya Karatu, Ngorongoro na Serengeti. (picha: Marc Nkwame/DAILY NEWS)Mamia ya...
View ArticleTMA WARNING: Heavy rains, strong winds and large ocean waves
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF TRANSPORTTANZANIA METEOROLOGICAL AGENCYTelegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.Telephone: 255(0) 22 2460706-8Telefax: 255(0) 22 2460735P.O. BOX 3056E-mail:...
View ArticleMkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wakiendelea na Mkutano huo uliofunguliwa rasmi jana April 10, 2014 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Peter...
View ArticleHII NDIO SIRI NZITO INAYOMFANYA ALIKIBA KUZIDI KUPENDWA ZAIDI.
Wasanii wengi wa fani mbali mbali kuanzia filamu hadi bongo fleva, wamekuwa wakipoteza mashabiki wao wengi kutokana na ile hali tu ya jinsi anavyochukulia umaarufu wake, kama anatumia umaarufu wake...
View ArticleMjengwa na Katiba Mpya: Nimeitafakari sana njia ya Kikwete
Rais Kikwete Ndugu zangu,Naziona ishara za kuendelea kwa mvumo mbaya wa upepo wa kisiasa na hususan inapohusu hoja ya Muungano na muundo wa Serikali.Mjadala unaoendelea sasa ni kama vile umefunikwa...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WAASWA KUEPUKA KUANDIKA HABARI ZINAZOTOA HUKUMU KATIKA...
Mkurugenzi Mkuu wa magazeti ya The Guardian na Nipashe Bw. Kiondo Mshana (kushoto) akizungumza na watendaji wa Idara ya Habari leo jijini Dar es salaam walipomtembelea ofisini kwake eneo la Mwenge kwa...
View Article