Waziri akwepa hoja, amshambulia Lissu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Hassan Suluhu akiwasilisha bunge makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kwa mwaka fedha 2014/15,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo...
View ArticleZanzibar International Film Festival // 18th-26th June 2011 Stone Town, Zanzibar
Habib KoiteBiographyMalian guitarist Habib Koité is one of Africa’s most popular and recognized musicians. Habib Koité was born in 1958 inThiès, a Senegalese town situated on the railway line...
View Article2 Tanzanians among 10 moms who make the world a better place
In honor of Mother’s Day this Sunday, check out these stories of 10 moms from all over the world who are working with Oxfam to right the wrongs of poverty and injustice. Whether they’re transforming...
View ArticleBEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA 14 BET AWARDS JUNE 29 8 PM
DAVIDO (NIGERIA)Davido is putting Nigeria on the globe in a big way. "Skelewu" is the third single from Davido’s upcoming album. The Afrobeat track was a huge overseas hit on African charts, helping...
View ArticleKINANA AVUTIWA NA MIPANGO YA KUSAIDIA VIJANA SIKONGE
Asema Vijana wa Pathfinders Green City ni mfano wa kuigwa. Awataka wilaya zingine nchini kuiga mfano huo kwani utasaidia sana katika kuharakisha maendeleo kwa vijana,kuwajenga katika misingi bora ya...
View ArticleWAKULIMA WATUMBAKU WALALAMIKA KUKANDAMIZWA
Walalamikia wingi wa kodi wanazokatwa na riba kubwa za mabenki Walalamikia utapeli unaofanywa na vyama vya ushirikia, wizi na ulanguzi wa pembejeoWalalamika kupangiwa bei kwa dola,kutolipwa kwa...
View ArticleANGALIA PICHA KIJANA AKIPEWA KIPIGO KATIKA MKUTANO WA UKAWA MOROGORO
Njemba huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani Moro.NJEMBA mmoja amepokea kipigo kikali kutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa...
View ArticleACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA
Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni...
View ArticleNEW AUDIO: Witnesz Feat. Ochu Sheggy – Think about it
Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT" hapa chini.
View ArticleKitita cha Dola chakamatwa kikitoroshwa airport D`Salaam
Ni Dola 230,554 sawa na milioni 380/- Vitisho vyaendeshwa kwa waliokamataWatu wawili wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kutaka kutorosha nje ya nchi fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani...
View ArticleMSIBA TANZANIA
Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei,2014 katika...
View ArticleWHO yajitosa dhidi homa ya dengue
Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO), limejiunga katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa ya dengue kwa kuagiza vipimo 1,000 kwa ajili ya upimaji nchi nzima.WHO imechukua hatua hiyo kusaidia...
View ArticleKAMA UTAPELEKA VITU TANZANIA MAMBO YA KUZINGATIA HAYA HAPA
CUSTOMS REGULATIONS AND INFORMATION FOR IMPORTSHOUSEHOLD GOODS AND PERSONAL EFFECTSDocuments Required Original Bill Of Lading (OBL) / Express Release for sea shipments) / Copy of Air Waybill (AWB) for...
View ArticleWizara ya Maliasili inaongozwa kwa ubabaishaji
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Naibu wake Mahmoud Mgimwa wakimsikiliza kwa makini Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani wa wizara hiyo, Mchungaji Peter Msigwa alipokuwa akitoa CD bungeni...
View ArticleMtuhumiwa huyu wa wizi katika Mabenki anatafutwa
Kamishna Kova akionesha hadharani picha ya mtuhumiwa mbele ya wanahabari.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIAPRESS RELEASE14/05/2014POLISI WAMGUNDUA...
View ArticleVodacom, CBA launches a revolutionary banking product: M-Pawa
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wakifurahia jambo wakati...
View ArticleWATATU WAUWAWA KWA KUTUHUMIWA KUTEKA GARI MSANGAMWELU TUNAOMBA RADHI KWA...
Mwili wa aliyetuhumiwa kwa utekaji gari ukiwa unasubiriwa kuchukuliwa na polisi mara baada ya kuuwawa na wananchi wenye hasira kaliUmati wa wananchi waliojitokeza kutambua miili ya marehemu hao kabla...
View ArticleWaziri: Kiwanda cha vinywaji Himo kimejengwa eneo la makazi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaamKamanda wa Polisi Kanda...
View Article