PICHA 100 ZA KUAGAWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON VIWANJA VYA LEADERS,WANANCHI...
Mwili wa Marehemu George Tyson Ukiwasili Viwanja vya Leaders Jijini Dsm kwaajili ya Kuagwa na hatimaye Kesho Kusafirishwa Kuelekea Nchini Kenya kwa Mazishi(Mazishi huko Kenya yatafanyika Tar...
View ArticleMchungaji aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji sasa huru
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania (EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi -- aliyevaa koti jeupe (picha: Mbeya Yetu blog) kutoka Mbeya Yetu blog kama...
View ArticleTaarifa ya SUMATRA kwa umma kuhusu UDA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTENDAJI WA SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA) KATIKA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI WA UMMAMamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekuwa ikifuatilia...
View ArticleWizara yaagiza wakamatwe wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Seif Rashid kupitia Wizara anayoiongoza ameagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya UKIMWI, kisukari na shinikizo la...
View ArticlePICHA: GARI LAGONGA MLANGO WA BENKI YA CRDB MOROGORO
Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila...
View ArticleNigeria-Boko Haram wafanya mauaji
borno iliyoshambuliwa NIgeriaBBC imepata taarifa kuwa zaidi ya watu 20 wameuawa katika mashambulio katika vijiji vya jimbo la Borno.Hii inatokea wakati bado kuna wasiwasi mkubwa juu ya hatma ya...
View ArticleMAZINGIRA 10 YANAYOPIMA UAMINIFU NA UPENDO WA KWELI KWA WANANDOA!
Mchungaji Peter Mitimingi na mkewe Subilaga.Mambo yanayoweza kujaribu uaminifu wako1. Magonjwa/MaradhiUtaendelea kuwa mwaminifu na kumpenda mwenzi wako hata wakati akiwa na magonjwa na maradhi?2....
View ArticleNauli mpya na utaratibu wa kulipia usafiri wa DART
Hatimaye picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi...
View Article[PHOTOS].PRESIDENT OBAMA HITS THE GYM IN POLAND
Barack Obama was at the center of a security breach today after it emerged pictures of him pumping iron in a private gym had been leaked. U.S. security experts are trying to find out how the...
View ArticleMKUTANO WA TATHIMINI YA CHAMA JIMBO LA HAI
Mkutano wa Tathimini ya utekelezaji wa Progogram ya CHADEMA NI MSINGI Jimbo la Hai, Mkutano huu umeongozwa na Mwenyekiti wa Taifa Mh Aikael Mbowe na Katibu wa Chadema kanda ya Kaskazini Mh Amani...
View ArticlePolisi waongezwa mishahara Brazil
Polisi waliandamana wakitaka nyongeza ya mishaharaSerikali ya Brazil inapendekeza kuwapa nyongeza ya asilimia 15.8 mishahara polisi wake ili wasigome wakati wa ufunguzi wa michuano ya kombe la dunia...
View ArticleMTOTO MCHANGA AOKOTWA KWENYE SHIGANZO MBEYA ,AFARIKI MUDA MCHACHE BAADA YA...
Kichanga kikiwa kimefunikwa Baada ya kuokolewa na muda mchache kufariki Shimo ambamo kichanga hicho kimekutwa Mashuhuda wakishuhudiaWengine wakiwa wameduaa Watoto wakiwa wanatimuliwa eneo la tukioWIMBI...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ-AHSANTE MHESHIMIWA RAIS KWA KUWAJALI VIJANA WAKO WANAOJITUMA!
kutoka kshoto ni Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Rais Dkt Jakaya Kikwete.Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na...
View ArticleDual citizenship approved by Danish parliament
Broad majority of parliament backs law change, which looks set to come into effect in the summer of 2015A broad majority of parliament today approved dual citizenship in Denmark.The new law will permit...
View ArticleMahojiano ya Dekula Kahanga "Vumbi" na Kwanza Production
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Dekula Kahanga "Vumbi" Vumbi ambaye anamiliki Dekula Band nchini SwedenAmezungumzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albamu yake mpya ya Shujaa...
View Article‘I AM SORRY DEAR’ IAMBATANE NA MABADILIKO LAA SIVYO…!
Wiki hii kama kawaida nazungumzia mada inayogusa maisha yetu ya kimapenzi, si unajua bila mapenzi hakuna maisha! Huo ndiyo ukweli, huwezi kuishi kama jiwe au mti. Raha ya maisha ni kuwa na mpenzi wa...
View ArticleUDA yavua nguo wabunge wa CCM
Vita ya umiliki wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) iimeendelea kugubika Bunge, safari hii wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishambuliana kuhongwa na pande mbili zinazogombea...
View Article