MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTUMBUKIA KISIMANI
Mtoto Jeremiah Nyamuhanga (2) mkazi wa Machimbo amekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji karibu na nyumbani kwao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema, mtoto huyo...
View ArticleKELELE ZA BAA, KLABU KUDHIBITIWA
Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imetunga kanuni ya kudhibiti kelele na mitetemo kutoka kwa waendeshaji wa klabu za usiku, baa, matangazo ya wanaozunguka barabarani na hata mahubiri katika maeneo...
View ArticleTANGAZO MAALUM
Kamati ya Uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwakumbusha wanajumuiya kuwa leo June 6, 2014 saa sita usiku ndiyo mwisho wa kurudisha fomu kwa wale wanaotaka kugombea uongozi...
View ArticleTANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa...
View Article"Leo ni Leo" performing live at Mwakaseg's Seminar - 7400 Wisconsin Ave....
Don't miss Mwakasege's Seminar where the most talented youth group from all the way Tanzania "Leo ni Leo next generation"will be performing liveand mwalimu C. Mwakasege will be continuing teaching...
View ArticleTIMU YA WABUNGE WA BUNGE LA JMT WAPIMA NGUVU NA WAFANYAKAZI WA AKIBA...
Timu inayoundwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo 07/06/2014 wameina Nguvu na Wafanyakazi wa Banki ya Akiba hapa Dodoma katika Mchezo wa Kirafiki.Hadi Mpira Unamalizika Mechi...
View Article27 wauawa katika vita vya kikabila DRC
Takriban watu 27 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa katika mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.Yanaaminika kuwa mapigano ya kikabila. Walioshuhudia mapigano hayo wanasema kuwa...
View ArticleAIBU KWA WASOMI DANGURO LAO LAGUNDULIWA DAR HEBU SHUHUDIA MAMBO YAO
Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers wamefanikiwa kulifumua danguro linalodaiwa kufuga...
View Article06 Jun 2014 PICHA: MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 7 KWA...
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akitoa hotuba yake wakati akifunga mafunzo kwa madereva bodaboda wilayani Makete. Mafunzo hayo yametolewa na shirika la APEC Madereva bodaboda wakifurahia...
View ArticleKIJANA AFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI MWANZA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA AKIFANYA...
MTU mmoja amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi.Mtuhumiwa huyo, William Sebastian (21), mkazi wa Kijiji cha Mlezi alisomewa mashtaka...
View ArticleWAKAZI WA KITONGOJI CHA ZAHANATI KIJIJI CHA IGURUSI WILAYA YA MBARALI MKOANI...
Hilo ndilo dampo linalolalamikiwa na wakazi haoHuyu bibi ni mmoja kati ya wakazi ambao nyumba zao zipo karibu na dampo hilo pamoja na huyo mzee aliyesimama pia huyo mzee alikuwa akifanya...
View ArticleAngalia Wema Sepetu, Ommy Dimpoz na Aunty Ezekiel wakiimba kusherekea ushindi...
Ni Masaa machache kabla ya kuanza kwa tuzo za MTV MAMA Awards na Tayari Ommy Dimpoz , Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wameanza kujirekodi huku wakiimba nyimbo ya “I Gotta feeling” ya Black eyed peas yenye...
View ArticleTAZAMA PICHA SITA ZA MADEREVA WA BODABODA WAKIMSINDIKIZA BODABODA MWENZAO...
Picha na Dar es salaam yetu Blog
View ArticleNASSARI AFUNGA NDOA
Joshua Samwel Nassari (kulia) akiwa na mke wake Anande Nko.Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru...
View ArticlePICHA ZA REDCARPET YA MTV AWARDS, DIAMOND NA WEMA, TUNZO TA BEST MALE ARTIST...
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo...
View ArticleLive Update: 2014 MTV Africa Music Awards
miguel performingUpdates from the 2014 MTV Africa Music Awards live in Durban South Africalist of winners:Best New ActStanley Enow Bayangi boyBest FemaieTiwa SavageBest hiphopSarkodieMAMA’ s...
View ArticleWith ATL, The Galaxy Is The Limit
AllAfrika Travel and Logistics, llc12925 Kitchen House WayGermantown MD 20874Phone: +1-202-386-6122Email: info@atlglobalsolutions.comWebsite: http://atlglobalsolutions.comJoin Us:...
View ArticleEAST AFRICA SWAHILI REVIVAL MONTHLY FELLOWSHIP JUNE 7TH
IT IS THAT BLESSED TIME AGAIN!JUNE 7TH 6:30MEAST AFRICA SWAHILI REVIVAL FELLOWSHIP INVITES YOU TO OUR MEETINGTHAT OCCURS EVERY 1ST SATURDAY OF THE MONTH.A TIME OF WORSHIP, PRAISE, PRAYER FOR THE...
View ArticleJULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST JUN 7
bondia julias kisarawe kesho anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan kiwale "morobest" .katika ukumbi wa friends corner manzese katika pambano la round nane. akizungumza na vyanzo habari hizi...
View ArticleLUPITA NYONG’O NA FAMILIA YAKE KUTUA TAMASHA LA 17 LA ZIFF
Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama...
View Article