SHILOLE NDANI YA JIJI LA LONDON HAPA AKIWA NA BALOZI H.E PETER KALLAGHE
H.E Peter Kallaghe akiwa na Shilole ndani ya ubalozi wa Tanzania katika jiji la London, Shilole na Mzee Yusuph watawasha moto kwenye mkesha wa Xmas. Mzee Yusuph na Shilole watazikonga nyoyo za...
View Article19 WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM
Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(aliesimama kulia)mara baada ya...
View ArticleMauaji makubwa yaripotiwa Sudan Kusini
Waathirika wa mapigano Sudan KusiniTaarifa mpya zimeibuka zikieleza kuwepo kwa mauaji ya kikabila yaliyofanyika katika kipindi cha zaidi ya wiki moja ya ghasia nchini Sudan Kusini.Mwandishi wa habari...
View ArticleAZMA MUNGU INUSURU TANZANIA OFFICIAL VIDEO
Huu wimbo na maalum kwa WATANZANIA WOTE, wanaoipenda TANZANIA,haya niliyoyandika na dedication kwao,nimewazungumzia Watanzania kwa kuwa ndio taifa langu mama, lakini wimbo huu usijifunge tuu ni kwa...
View ArticleWATU 7 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KWA MAKOSHA MBALI MBALI...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidizi wa Polisi SUZAN S. KAGANDA akionyesha baadi ya vitu walivyokutwa navyo watu saba wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa makosa...
View ArticleWATOTO WATUMIKA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE , WAFANYISHWA KAZI...
Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini MbeyaWatoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa SokoineUwanja wa Sokoine unavyoonekana kwa...
View ArticleKAMA HUJAWAHI KUONA MWILI NYUMBA HABARI NDIYO HII
Call for help: Christina, 23, from South Haven, Mississippi, who appears in one episode of 'My 600-lb Life', weighs 670lbs and is unable to leave home without assistance.Her weight continued to climb...
View ArticleSKENDO MPYA YA GOVERNOR WA ZAMANI WA NEW YORK CITY - IMEGUNDULIKA KWAMBA...
Silda Spitzer, ambaye bado ni mke wa Eliot alisimama sambamba na mumewe alipokubali mashtaka ya kununua makahaba wa bei ghali na kujiuzulu mwaka 2008Eliot Spitzer (kushoto) ameonekana nyumbani kwa Liz...
View ArticleMsondo, Sikinde kuvurugana TCC Club leo
Na Mwandishi WetuMabingwa wa muziki wa dansi nchini Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” leo mchana zitachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke.Mpambano huo wa...
View ArticleBONGO TAMBARARE HOME SWEET HOME
Picha hii ilipigwa kutoka jengo la Kempinski Hotel picha nzuri inaonyesha mandhari ya kuvutia katika maeneo ya karibu na geti la kuingilia BoT au Twin tower za bank kuu.
View ArticlePOLISI WAUDAKA MWILI UKIWA NA KETE 17 ZA MADAWA YA KULEVYA
Maiti ikiwa ndani ya gari aina ya SPACIAL yenye namba ya usajili T 887 BSW eneo la nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospotali kuu ya mkoa wa Morogoro, baada ya gari hilo kukamatwa majira ya saa 7...
View ArticleMISS TANZANIA 2013 ASHEREHEKEA SIKUKUU YA X - MASS PAMOJA NA WATOTO YATIMA...
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa Akikabidhi zawadi waliotoa katika kituo hicho kwa Mama Mkuu wa Wa shirika la Masista wa Moyo safi wa Maria Sista Flora Chuma..Miss Tanzania 2013 Happiness...
View ArticleSALAMU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MARIA SARUNGI
Maria Sarungi Tsehai, Founder & Director of Product of Compass Communications Co. Ltd. And Director of Miss Universe Tanzania.
View ArticlePITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO PANDE ZA HAGERTOWN MD CHRISTMAS DAY
Hamza, Esmond, Fellah Abdul, Hamisi and Dr. Mwamoyo Hamza nyumbani kwa Uncle Fellah wa kipata ukodak kabla ya dina ya Christmas.Katikati ni brother Seif Akida kutoka New York akipata ukodak kabla ya...
View ArticleKumbukumbu ya mama
It is exactly 17yrs since you departed from us on 26/12/1996. Mom you meant the world to us its hard to live without you. Your love will forever shine for us, even though your not here with us, we...
View ArticleNEEMA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA SESKA LOUNGE, ROCKVILLE, MARYLAND
Kutoka kushoto ni Neema, Lilian, Flora na Adela katika picha ya pamoja kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Seska Lounge Kiota pendwa cha maraha DMV siku ya Jumatano Dec 25, 2013 siku Christmas...
View ArticleMWANAFUNZI WA CBE-DODOMA AFARIKI DUNIA
MAREHEMU SAMWEL P. KITULAIkiwa ni siku moja imepita Tangu Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dodoma kiondokewe na aliye wahi kuwa Mwanafunzi wa Chuo hicho katika Level ya Diploma 2012/2013 Marehemu...
View ArticleShivji: Tafakuri Juu ya Operesheni Tokomeza
Issa Shivji Profesa Mstaafu wa Kigoda Cha Mwalimu NyerereAibu, aibu, aibu. … aibu ya kitaifa! Utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili uliosababisha mateso, ukatili, udhalilishwaji, upigaji na...
View ArticleDJ LUKE KURUSHA JUMAMOSHI DEC 28, 2013 KIOTA KILE KILE CHA SAFARI CLUB,...
KIINGILIO $15LADIES FREE B4 11PMFIKA TUWAJIBIKE PAMOJA KWENYE KIOTA CHA MARAHA AMBACHO HAUTASAHAU RADHA YAKE
View Article