GUEST MAARUFU YAUNGUA MOTO MUHEZA-UBENA JIRANI NA SOKO KUU LA MUHEZA ALFAJIRI...
GUEST YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII ILIYOKO MUHEZA UBENA JIRANI NA SOKO KUU LA MUHEZA IKIELEZWA CHANZO CHA MOTO HUO NI SHOTI YA UMEME.SAKATA HILO LIMETOKEA LICHA YA BAADHI YA WANANCHI KUJITAHIDI KUUZIMA...
View ArticleWANACHUO WA MZUMBE WAFANYA ZIARA BUNGENI MJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiongea na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe cha Morogoro Mbele ya Ukumbi wa Bunge. Wanachuo hao wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo. Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZOEZI LA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA...
Siku ya zoezi la usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji lililofanywa na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi tarehe Ijumaa Juni 13, 2014 katika Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam.TAARIFA KWA...
View ArticlePicha: Lulu azianika picha za ndoa yake, 'Already taken', ni surprise!?
Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!Sentensi niliyoiandika hapo juu inaweza kuwa rahisi na ya kweli moja kwa moja kwa kuangalia picha za harusi...
View ArticleANGALIA RECORDED LIVE 2nd ANNUAL TANZANIA LADIES NIGHT KUTOKA GREENBELT MARYLAND
Broadcast live streaming video on Ustream Broadcast live streaming video on Ustream
View ArticleEVE SASA KUJULINA KAMA MR. AND MRS. MAXIMILLION COOPER
Eve akiwa na mume wake baada ya kuoana, Hapa ni sehemu ndoa yao ilifanyika na kuhudhuriwa na ndugu na marafiki huko Blue Marlin beach Ibiza, Spain. Mr Maximillion Cooper na Eve walikuwa wachumba toka...
View ArticleYULE KIGOGO WA TANESCO AMKANA MKEWE MAHAKAMANI
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi William Mhando, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Mhando) katika kesi ya...
View ArticleKIJANA AFARIKI DUNIA HAPO HAPO BAADA YA KUANGUKIWA NA KICHUGUU..
Mwili wa Mkazi wa kijiji cha Ruganzo wilayani Ngara mkoani Kagera Raulian Ladislaus mwenye umri wa Miaka 40, ukiwa umeangukiwa na Kichuguu na kufariki papo hapo June 12,2014,mchana wakati akichimba...
View ArticleHas ‘Kitchen Party’ lost its meaning?
Inappropriate dancing has become a common thing at kitchen parties. PHOTO I FILE In SummaryLet’s go back fifteen years ago and we’ll realise that kitchen party was never this famous. The parties...
View ArticleHAPPY FATHER'S DAY-SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC INAKUKARIBISHA WEWE NA...
CHIPS MAYAI FISH KABAB...
View ArticleUCHAGUZI WA CCM DMV NI LEO JUMAPILI
KADA SEIF, AKIDA kutoka CCM New York ndiye msimamizi, wa uchaguziNdugu Ismail Mwilima mgombea wa nafasi ya UKATIBUMama Jessica Mushala mgombea wa nafasi ya UKATIBUMAANDALIZI YA UCHAGUZI. YA NAFASI YA...
View ArticleBalozi Sefu Iddi abariki tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit...
View Article