Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ATEMBELEA BANDA LA MAMBO YA NJE, SABASABA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akiwasili kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye viwanja vya SabasabaRais Dkt. Kikwete akiweka saini kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YA SHEREHEKEA UHURU WAO KWA KUWASHA MAFATAKI USIKU

Ziwa MichiganNew JerseyManhattan, NYBrooklyn, NYMiami, FL

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ALIVYOTEMBELEA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA TANTRADE LEO

Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM ZAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza kina mama waliotembelea kutoa pesa wakati wa uzinduzi wa mashine ya ATM ya kampuni hiyo ambazo zinatoa pesa kwa kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF HAMADI ATEMBELEA...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mwekiti wa Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifa wakati alipokwenda kuwatembelea Watoto Mayatima wanaohudumiwa na Jumuiya hio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA yaipa Nigeria siku tatu

Shirikisho la Kandanda la Dunia, FIFA, limeionya Nigeria kwamba itatolewa katika kandanda ya kimataifa iwapo serikali haitalirejesha tena shirika la kandanda la Nigeria, Nigerian Football Federation,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bomu laua wanne nje ya bunge Somalia

Wapiganaji wa Al shabaabBomu lililotegwa kwenye gari limelipuka na kuua watu wanne karibu na Bunge la Somalia na wengine kujeruhiwa, maafisa wa Polisi wamesema.Habari zanasema bomu hilo lilipiga nje ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI TETE KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI, SASA WATAKA ASKOFU...

Askofu Alinikisa Cheyo anayeshinikizwa kujiuzuru.Mchungaji Edward Chilale, Mwenyekiti wa Baraza la wazee Usharika wa Bethrehemu na mwenyekiti wa kikao kilichotoa tamkoMbeya Yetu

View Article


UCHAGUZI DMV, USA: Timu Libe for DMV Community President 2014

Na Ebou Shatry/SwahiliVillaHizi ndizo kampeni za Mgombea wa Urais wa Jumuia ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe". Kumekuwa na minog'ono na tuhuma eti "Timu Libe  for DMV Community...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMCO - JUMUIYA YA WAISLAM YA WATANZANIA, FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC,

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uondoshaji makontena kinyemela...TRA yaumbua kile ilichoficha TPA

Wakati Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) ikificha sakata la udanganyifu wa kuondoa makontena bandarini jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Mapato (TRA) imeiumbua na kuthibitisha kuwapo na udanganyifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DREAM AFUNGA NDOA SIKU YA YA UHURU WA MAREKANI NDANI YA MALL-The Boombox

Christopher Polk, Getty ImagesA month after denying felony assault charges against his ex-girlfriend, The-Dream, out of nowhere, gets married during the Fourth of July weekend.The R&B producer and...

View Article

Watch VH1′s Recorded ‘Live From 2014 Philly 4th of July Jam’

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIMBO MPYA by CRISS WAMARYA

ningependa kukujuza kua huu ndio wimbo wangu mpya....mwakajana niliachia wimbo usinihukumu ila tangu mwaka umeanza sikubahatika kuachia wimbo kutokana na matatizo ya kidunia kufiwa na mjomba wangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA INGINE TENA MAONESHO YA SABASABA LEO JULAI 6, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba...

View Article


TANGAZO LA MSIBA DMV

Bishop Melchizedek D. Maturlu; Mchungaji kiongozi wa kanisa la Bethel Kingdom hapa DMV anasikikita kutangaza msiba kwa kuondokewa na mdogo wake Focus D.Maturlu. Alifariki Jana jioni kwenye hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ AWASILI KANSAS CITY, KANSAS TAYARI KUWASHA MOTO LIVE LEO USIKU

Diamond Platnumz akiwa Kansas City tayari kwa kuwasha moto leo usiku.Diamond Platnumz (kushoto waliokaa) akiwa na dj wake Dj Romy Jons (kati) na poromota DMK wakiwa katikati ya jiji la Kansas wakiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO MAALUM LA KUONGEZA MUDA WA KUCHUKUA FOMU DMV

Bofya soma zaidi upate fomu ya kujaza nafasiFOMU YA KUWANIA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA -WASH-METROWEKA VEMA KWENYE KISANDUKU / VISANDUKU KWA NAFASI UNAZOTAKA KUGOMBEA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW YORK TANZANIA COMMUNITY

Ndugu Wanajumuiya,Mkutano wa Wanajumuiya wote utafanyika Jumamosi, tarehe 2 Agosti 2014 kwenye Jengo la Ubalozi address hii 30 Overhill Rd, Mount Vernon, NY 10552 (Pale pale tulipofanyia uchaguzi mwaka...

View Article

DIAMOND PLATNUMZ

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>