Mwaliko wa Kushiriki katika Uzinduzi wa Kitabu cha SIMULIZI ZA MZEE MADIBA
Ndugu zangu, Nami nitapata fursa ya kutoa hotuba. Nitazungumzia umuhimu wa kuhifadhi historia kwenye maandishi ili iwe ni kumbukumbu ya miaka mingi kwa wengine kujifunza. Maana, historia haibadiliki,...
View ArticleKISOMO CHA GHAZAL OMAR KUFANYIKA KESHO JUMAPILI NORTH CAROLINA
Wandugu wapendwa, siku ya Jumapili saa 8 Mchana tutakutana kwa Kamugisha anuani,6309 Winding Arch Dr.Durham, NC 27713Kwa ajili ya Kisamo/Dua ya kumuombea kijana wetu mpendwa Ghazal Omar(Bingwa). Kama...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Fay Destiny From Ohio USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa.
View ArticleWorld Bank Group : Tanzania: World Bank Supports Land Ownership Reform and...
WASHINGTON, December 27, 2013 - The World Bank's Board of Executive Directors yesterday approved funds to strengthen the business environment in Tanzania, with actions focused on land administration...
View ArticleSIKU ZA MWANZONI ZA NAPE NNAUYE
Maisha ni safari ndefu..Siku za mwanzo za mwanasiasa Nape Nnauye
View ArticleREDDS MISS TANZANIA 2013 AWAFARIJI WATOTO YATIMA
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro ,...
View ArticleMAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSINI : KUPAMBA USIKU WA REAL UNIQUE...
Asia Idarous akitangaza rasmi wakati wa uzinduzi wa kampuni ya Real Unique Tanzania hivi karibuni.Na Andrew ChaleMBUNIFU mkongwe wa mitindo na mavazi nchini, Asia Idarous Khamsin, usiku wa leo Desemba...
View ArticleJairo, Nyoni wasafishwa kimyakimya
Serikali imewasafisha aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo huku ikimpandisha cheo aliyekuwa...
View ArticleMAKAMBA AWASIHI BODABODA WA MWANZA
Naibu wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba.NAIBU wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba ametaka ujio wake Jiji la Mwanza usihusishwe na Kampeni za chini...
View ArticleMinziro: Nainoa Yanga kwa mapenzi
Dar es Salaam. Kocha msaidizi wa Yanga, Fred Felix Minziro amesema hana wasiwasi kuhusu hatima ya kibarua chake kwani amefanya kazi muda wote bila ya mkataba wowote.Kauli hiyo ya Minziro imekuja wakati...
View ArticleMARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana...
View ArticleKARIBU IBADA YA KUSHEHEREKEA KUZALIWA KWA YESU KRISTO!! Jumapili Disemba 29,...
**** Tembelea Ibada ya Kiswahili Website: www.iykcolumbus.org ****Ubarikiwe hadi ushangae!!!
View ArticleGovernment Shutdown Forces IRS Tax Delay for 2014
Just like last year (and the year before) there will be delays to the start of the tax filing season again this year. The delay will apply to 2013 tax returns filed in 2014. This year, the delay is due...
View ArticleAfrican summit challenges S Sudan to end fighting
NAIROBI, Kenya (AP) — Kenya's president on Friday urged South Sudan's leaders to resolve their political differences peacefully and to stop the violence that has displaced more than 120,000 people in...
View ArticleDJ LUKE KURUSHA JUMAMOSI JAN 4, 2014 KIOTA KILE KILE CHA SAFARI CLUB, GEORGIA...
Juu na chini ndiyo mandhali mpya ya kiota cha maraha cha Safari kikiendelea kutoa rasha ya Burudani ambayo haijaisha utamu wake fika urushe mikono na kujiachiaachia ili maradi si fujo wala patashika...
View ArticleKatiba ya Tanganyika inawezekana kwa miezi mitatu
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Dar es Salaam jana. Picha na Salim ShaoDar es Salaam. Mwenyekiti wa...
View Article