MHE. BALOZI, DKT. ELSIE KANZA AONGOZA SIKU YA MAADHIMISHO YA LUGHA YA...
Bendera zikiwakilisha mataifa ya Afrika ndani ya jengo la African Union Washington, DC, ilipofanyikia maadhimisho ya siku ya lugha ya Kiswahili Duniani siku ya Ijumaa July 7, 2023 na Balozi wa Tanzania...
View ArticleBALOZI ALI KARUME AFUKUZWA UANACHA WA CCM ZANZIBAR
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kwa kauli moja imemfukuza uanachama kada na mwanachama mkongwe wa Chama hicho Ali Abeid Karume kutokana na...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata Tarafa ya Eyasi, Wilaya ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA SADC TROIKA
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na...
View ArticleBuku yampa shabiki wa Yanga na Manchester United mamilioni ya M-Bet
 Na Mwandishi wetu  Shabiki wa timu ya Yanga na Manchester United Ezekiel Mwang’onda (34) amesema ndoto yake ya miaka saba katika kubashiri imekuwa kweli baada ya kushinda kitita cha Shilingi Milioni...
View ArticleBIRTHDAY YA LYSA ILIVYODAMSHI, BIBA APATA MSHANGAO WA SURPRISE
Lysa akiwa na baba mwenye nyumba wake Biba wakiwa katika picha ya pamoja siku ya kusherehekea kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa ambazo hutofautiana kwa wiki mbili. Ilikua ni sherehe ya birthday ya Lysa...
View ArticleMADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI UJERUMANI WAWASILI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA...
Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo Dkt Rashid Suleiman katikati akiwa na madaktari kutoka nchini Ujerumani waliowasili kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa...
View ArticleMAANDALIZI YA WORLD CULTURE FESTIVAL 2023 WASHINGTON, DC YAFANYIKA NEWARK,...
Kipeperushi cha World Culture Festival itakayofanyika mwaka huu 2023 jiji la watunga sheria, Washington, DC kati ya Septemba 29 mpaka Octoba 4 ni maonyesho ya tamaduni kutoka nchi mbalimbali Duniani...
View ArticleRAIS SAMIA ATOA ARDHI YA HEKARI TANO KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI YA UMOJA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.Mkurugenzi Mkuu wa EWURA ,Dk James Andilile akizungumza katika kikao hicho jijini ArushaJulieth Laizer,Arusha.Arusha .Rais wa jamhuri ya...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA TAASISI YA UONGOZI KUTOA TAFITI ZA KIMKAKATI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na watumishi wa Taasisi ya UONGOZI jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya...
View ArticleMATOKEO KIDATO CHA SITA YAPO HAPA
Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed akitangaza matokeo hayo leo.BALAZA la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka...
View ArticleFANYA HAYA KABLA YA KUSEMA "MWANANMME HATA UMPE NINI HARIDHIKI"
MUNGU ni mwema. Ijumaa nyingine tunakutakana hapa. Tunapeana elimu ya uhusiano. Kwa wale wanaoamini katika kujifunza kitu kipya kila siku, nawakaribisha tuwe pamoja.Kama mada inavyojieleza hapo juu,...
View ArticleMKUTANO WA 25 WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SADC KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU...
Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (MCO) utafanyika jijini Windhoek, Namibia...
View ArticleRAIS WA HUNGRAY MH. KATALIN NOVAK AWASILI TANZANIA
Rais wa Hungary Mh. Katalin Novak akiangalia vikundi vya ngoma akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Dkt. Stargomena Tax mara baada ya kuwasili kwenye...
View ArticleRAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA HUNGARY, IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18...
View ArticleJEZI MPYA ZA YANGA MSIMU 2023/24 ZIMEWASILI USA
Pata uzi mpya wa Wananchi Mabingwa wa nchi, FA, ngao ya jamii na wanafainali wa kombe la shirikisho.Bei ni $30 tu, mzigo umewasili USA.Wahi mapema $30 plus shipping kwa maelezo zaidi na malipo...
View Article