Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI POLISI NA ASKARI MAGEREZA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UJAMBAZI WA...

Ulinzi ukiimarishwa Baada ya watuhumiwa wa ujambazi kufikishwa mahakamaniMbele ni mshitakiwa wa nne Mbaruku Hamis akiingia mahakamaniKutoka kushoto ni mshitakiwa wa pili Elinanzi Eliabu Mshana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO MOVIES YA JOYCE KIRIA YARUDI UPYA KATIKA LUNINGA YAKO

Ilikuwa inaongozwa na Super woman Joyce Kiria, safari hii inarudi ikiwa na watangazaji wapya kabisa. Je, unawafahamu? Usikose kuiona studio mpya full red carpert. Kauli mbiu ya msimu mpya ni WASANII...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA CMHI INAYOJENGA BANDARI YA BAGAMOYO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Kichina ya China Merchant Holdings International (CMHI) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 10, 2013. Kushoto kwake ni Kiongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROBERTO CARLOS USO KWA USO NA YANGA NCHINI UTURUKI.

Roberto Carlos akiwa na wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla...

View Article

Video ya Moto uliozuka katika ghala ya kuifadhia dawa Dar es Salaam.

Washindi wa shindano la kutwiti wazo bora la kujikwamua kiuchumi wametakiwa kutekeleza kwa vitendo mawazo yao.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI FORTUNATA RINGO AFARIKI DUNIA

Fortunata akiwa katika mafunzo ya MCT ya maadili ManyaraBlogu hii saa moja iliyopita imepokea habari za kusikitishwa kwamba mwandishi wa habari wa Habarileo Manyara Fortuinata Ringo amefariki dunia.kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA YA KESI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege (kulia) na familia yake akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kusikiliza mwenendo wa kesi yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YANAVYOENDELEA

Kifaru cha kivita cha JWTZ kikifanya matayarisho ya mwisho kwa ajili ya maadhimisho ya kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Gari za Polisi zinazotumika wakati wa kuzuia vurugu katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kashfa ya mapenzi yamwandama Hollande

Kashfa hii imetokea wakati Hollande akikabiliwa na kipindi kigumu cha utawala wakeRais wa Ufaransa François Hollande, ametishia kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA KITU KINAWEZEKANA NI KUJIFUNZA KWA BIDII TU

Klabu ya wachezaji wa mchezo wa kuteleza kwenye mawimbi ya maji kwa kibao kijijini Bureh kilizinduliwa kama shirika lisilo la kiserikali ambalo nia yake ilikuwa kuimarisha mchezo huo nchini Sierra...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa mpito wa CAR ajiuzulu

Maelfu ya watu wamekimbia makwao kutokana na vurugu za kidiniRais wa mpito wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, amejiuzulu kufuatia shinikizo kali na kukosolewa kwa mwendo wake wa kujikokota...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanajeshi wa S.Kusini wakomboa Bentiu

Hli ya wakazi wa Sudan Kusini ni ya kusikitisha baada ya maelfu kukimbia vitaTaarifa kutoka Sudan Kusini zasema kuwa wanajeshi wa taifa hilo wamechukua udhibiti wa mji wa Bentiu kutoka kwa waasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALL-SHABAB WATOA WAPIGA MARUFUKU WANANCHI KUTUMIA INTERNET NCHINI SOMALIA...

Jamaa ana skills ya kutumia bunduki check hapa.Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Drinking May Decrease Risk of MS

Drinking alcohol halves the risk of developing MS in men, according to a Swedish study, and cuts it substantially in women.If you raised a glass to toast the new year, you may havealso reduced your...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMATE MATE NA USAFIRI WA QUEEN MEDIA WA UGANDA ZARI JITIRIRISHE HAPA CHINI...

Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABABU YA KIFO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA

Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeSiku ya Ijumaa Jan 3, 2014 baada ya kuanza kujisikia vibaya Marehemu Zainab alikwenda Hospitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland ambayo ni kama maili 7...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

View Article


MSIBA DMV NA TANZANIA

Dada Rose, Esther na Peace Kachuchuru wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yao marehemu Murel Charles Kachuchuru kilichotokea nyumbani Tanzania leo Ijumaa asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUSHIRI KAUBANIKA AFUNGA NDOA NA MWATABU TAMARAWE

Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe arusi iliyofungwa Gongolamboto mwisho wa lami na kufuatiwa na tafrilija iliyofanyika Kigogo Dampo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUBELWA BANDIO ATEMBELEA KABURI LA JUSTIN KALIKAWE, BUKOBA

Mmiliki wa Blog ya Chahangamoto yetu, Mubelwa Bandio mwenye makaazi yake DMV mapema leo alitembelea kaburi la mwanamuziki wa reggae aliyewika enzi hizo marehemu Jastin Kalikawe ambaye pia alikua mdogo...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>