UNIC yaendelea kutoa mafunzo ya mateso ya kambi za wayahudi
Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Diamond juu ya umuhimu wa kujifunza mauaji ya kimbari ya wayahudi ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUMBE O-LEVEL NI ILBORU...
First Name: MwiguluMiddle Name: LameckLast Name: NchembaMember Type: Constituency MemberConstituent: Iramba MagharibiPolitical Party: CCMOffice Location: Box 52 Kiomboi, IrambaOffice Phone: +255 878...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, SAYANSI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar es...
View ArticleFirst Meeting of the African Ambassadors in the Africa House
Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali (kulia) akiongoza mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African...
View ArticleJIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA!
Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za wasanii, watu maarufu na zingine kutoka Magazeti Pendwa ya IJUMAA WIKIENDA, UWAZI, RISASI, AMANI, IJUMAA na CHAMPIONI moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 wakati alipokuwa...
View ArticleSUPER D AMPONGEZA BONDIA MUSSA MCHOMANGA NA KUMZAWADIA
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi clip bandeji na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa bondia Mussa Mchopanga baada ya kumdunda Anton Idoa kwa K,o ya...
View ArticleAMBASSADOR MULAMULA REMARKS AT THE CAPITOL HILL BRIEFING ON ELECTRIFY AFRICA...
High Table Officials looking at a video clip (not seen in the picture)of a launch of NRECA's 'Let there be light Project' in rural Tanzania.H.E. Liberata Mulamula, Ambassador of the United Republic of...
View ArticleTIKETI ZA SHOW YA OMMY DIMPOZ FEB 8 JIJI LA WAJANJA, OAKLAND, CALI ZIPO MTAANI
"UJANJA KUWAHI JIJI LA WAJANJA"PIGA SIMU HIZI517-9198-3920510-520-5995
View ArticleHIZI NDIO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA JITIRIRISHE KUONA KAMA NI KWELI HII
1. DAR - Utapeli2. ARUSHA - Ustaarabu3. MBEYA - Matukio4. MWANZA - Fujo5. TANGA - Mapenzi6. MOROGORO - Starehe7. DODOMA - Bahati8. IRINGA - Elimu bora9. RUVUMA - Pombe10. RUKWA - Uchawi11. TABORA -...
View ArticleJK akamilisha uteuzi majina ya wajumbe Bunge la Katiba
Hatimaye, wajumbe 201 kutoka katika majina ya wawakilishi 2,722 wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na taasisi za kidini yaliyopelekwa Ikulu kwa ajili ya uteuzi wa Rais wa wajumbe wa Bunge Maalumu la...
View ArticleMtanzania azua tafrani katika familia ya Zuma
Dar es Salaam. Mtanzania anayeishi Afrika Kusini, Stephen Ongolo amekamatwa na polisi wa nchi hiyo akidaiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais Jacob Zuma, Nompumulelo Ntuli Zuma au MaNtuli.Kwa...
View ArticleTiketi za elektroniki zazua jambo
Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi walipokuwa Uturuki kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi kuu Tanzania bara. PICHA|MAKTABADar es Salaam. Bodi ya Ligi (PTL) inayosimamia Ligi Kuu Bara,...
View ArticleVIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, MDEE NA MSIGWA WAKAMATWA NA KUHOJIWA MKOANI IRINGA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wabunge wake wawili, Peter Msigwa na Halima Mdee, waonja joto ya jiwe ya Nondo la lupango za Kituo cha Polisi Kati Mkoani Iringa.Akizungumza kwa njia ya simu...
View ArticleVIDEO: MWANAMKE AMCHANA KWA VIWEMBE MFANYAKAZI WAKE WA KIKE WA NDANI!
Dunia hii inaelekea wapi? Huku tukiendelea kupiga vita dhidi ya ukatili kwa wanawake, kuna wanawake wengine ndio wanaoongoza ukatili huo.Shuhudia stori hii ya huyu mwanamke katili aliyemchana chana kwa...
View ArticleVIONGOZI WAKUU WA CCM WAANZA KUWASILI MKOANI MBEYA
Makamu Mwenyekiti CCM(Bara) Ndugu Phillip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi wakati wa mapokezi kwenye ofisi za CCM Mkoa,Makamu Mwenyekiti amewasili mkoani...
View ArticleKaribu Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Februari 02, 2014
* * * www.iykcolumbus.org * * *
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA WAZIRI MKUU WA FINLAND BAADA YA KUMALIZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
View Article