Kanusho la Mh. Lowassa kuhusiana na umiliki wa kurasa za mitandao ya kijamii
Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA ‘FOUNDATION FOR BENEFACTOR...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Joe Ricketts Kiongozi wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, wakati walipofika Ofisini kwa...
View ArticleSALAMU ZA VALENTINE KWA WAPENDANAO
Wadau wa Vijimambo tutumie picha ya wewe na mpenzi wako yenye ujumbe wa mapenzi kwa mwenzi wako na sisi tutarusha kwenye siku hii maalum kwa wapendanao Duniani siku ya Ijumaa Feb 14, 2014 picha...
View ArticleMvua iliyoambatana na upepo mkali DSM huenda ukaendelea hadi Jumatano.
Mvua iliyoambatana na upepo mkali uliovuma usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam umesababisha umeme kukatika kwa zaidi ya saa sita katika sehemu kubwa ya jiji hilo,miti kuanguka pamoja na wavuvi...
View ArticleUkeketaji mkoani Mara, Tanzania wadaiwa kufanywa na baadhi ya wauguzi.
Watoto kwenye kampeni dhidi ya ukeketaji watoto wa kike na wanawakeTarehe Sita Februari kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketeji wa watoto wa kike na wanawake. Takwimu zaonyesha kuwa...
View ArticleMCHUMBA WA AY HUYU HAPA
Mwanamuziki wa Bongo Flava AY katika picha ya pamoja na mchumba wake.
View ArticleMISS TANZANIA USA JOY KALEMERA ATAMBULISHWA RASMI UBALOZI WA TANZANIA JIJINI...
Founder wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akiwa na Beauty Queen Miss Tanzania USA 2014 Joy Kalemera mara baada ya kuwasili ubalozi wa Tanzania Washington DC kwa Utambulisho rasmi Tarehe Feb...
View ArticleLULU KESI UPYAA
Supa staa Elizabeth Michael "Lulu"Stori:RICHARD BUKOS wa GPLKAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa...
View ArticleTASWIRA YA MKUTANO WA NANE WA MWISHO KUHUSU MAENDELEO ENDELEVU BAADA YA 2015
Mkutano wa nane wa maajadiliano ya wazi kuhusu maandalizi ya malengo mpya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) umekamilika siku ya Ijumaa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Katika...
View ArticleWalimu nchini waishika ‘pabaya’ Serikali
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania, Gratian Mukoba akisisitiza jambo. Picha na MaktabaDar es Salaam.Baraza la Walimu Tanzania(CWT), limesema ifikapo mwishoni wa Februari, mwaka huu, Serikali...
View ArticleVIJIMAMBO WATOTO-The Best of Mr.Bean
Mr. Bean and Teddy go into the loft in search of an umbrella. Whilst looking, Bean uncovers a piece of paper with a smile showing teeth and 9.00 written under it (from the episode "The Trouble With Mr....
View ArticleJICHO LA VIJIMAMBO MTWARA BAADA YA WANANCHI KUANDAMANA KUPINGA GAS KUONDOKA...
Rais wetu siku ambayo alitembelea Mtwara na kusimama sehemu ya uchimbaji gas. Sasa kazi imeshaanza baada ya serikali kutumia njia walizo weza na kuwatuliza wananchi wa Mtwara. wananchi hao walitaka...
View ArticleSHEREHE ZA KUZALIWA CHAMA TAWALA CCM TAWI LA NEW YORK LEO HII KUANZAIA 11...
Sherehe za kuzaliwa chama tawala CCM zitaadhimishwa kichama siku ya Tarehe 08.02.2014 New York. Address Claudio's Cafe32-23 37th Ave Astoria, Long Island CityPhone number(718) 726-2233Tunawaomba...
View ArticleNGASSA APIGA TATU YANGA IKIUA 7 BILA MAJIBU NDANI YA DIMBA LA TAIFA
Ngassa alikuwa mwiba kwa Wacomoro baada ya kupiga goli tatu pekeyake katika ushindi wa goli 7 bila majibu walioupata Yanga katika. Ngassa aliondoka na mpira wake maana ndiyo sheria ukirudi nyavuni mara...
View ArticleWAKUTWA WAKIKOJOA KWENYE MASINKI YA KUNAWIA MIKONO UWANJA WA TAIFA.
Dar es Salaam National Stadium , urinating in the hand/face washing sinks. Huu ni ushamba na ulimbukeni, these thugs need induction before getting into the stadium.Jamani kwa wale mnao simamia uwanja...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI DMV KUADHIMISHA MIAKA 37 FEB 22, 2014 TABEER
TUNAPENDA KUWAALIKA WANACHAMA NA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE YA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA C C M ITAKAYOFANYIKA TAREHE 22 MWEZI HUU 22/2/14 KUANZIA SAA 10 JIONI TABEER HALL LANGLEY PARK CHINI YA...
View Article