Mwenyekiti Bunge la Katiba nguvu kwa Migiro,Chikawe
Yadaiwa ni baada ya mambo kumemwendea vibaya ChengeWaziri wa Katiba na Sheria,Dk. Asha-Rose Migiro.Kampeni za makundi ya vigogo wanaopigana vikumbo kugombea uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleUHUSIANO ULIOPO UNA MANUFAA MAISHANI MWAKO?
ILI jambo lolote liwe na maana ni lazima liwe na manufaa. Hakuna mtu anayeweza kufanya jambo ambalo halina faida kwake. Marafiki, kwa bahati mbaya sana, wapo ambao wanakuwa kwenye uhusiano bila ya kuwa...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY
Richard Lugakingira wa New York, U.S.AVijimambo Team Wishing you all the best for your birthday.
View ArticleSHIP THIS WEEK ............ATL SAYS TO DMV'..............
AllAfrika Travel and Logistics, llc12925 Kitchen House WayGermantown MD 20874Phone: +1-202-386-6122Email: info@atlglobalsolutions.comWebsite: http://atlglobalsolutions.comJoin Us:...
View ArticleRAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUHAKIKI TAKWIMU ZA MAWASILIANO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers...
View ArticlePICHA:MH:MWIGULU NCHEMBA AFUNGUA KAMPENI JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Godfrey William Mgimwa akibebwa Juu na Wanachama/wapenzi wa CCM mara baada ya Kuwasili Viwanja Vya Stendi-kata ya Ifunda.Mapokezi Mazito yakiendelea ya Naibu...
View ArticleWAZIRI KAWAMBWA AZINDUA RASMI TAARIFA YA UTAFITI WA "KKK" TANZANIA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akiwaisili Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam, tayari kuzindua warsha ya uwasilishaji wa ripoti ya upimaji wa Kitaifa wa Stadi za...
View ArticleWabunge wawili CCM wajilipua
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Bulaya akichangia hoja juu kuhusu Kanuni za Bunge, Dodoma jana. Bulaya, ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), aliunga mkono hoja ya kura za siri. Picha na...
View ArticleWE MWANA, WEE BADO SHOMBO SUBIRI UKUE
Mu hali gani wapenzi wangu, najua mu wazima na shauku yenu kubwa kunisoma, nami sitawaangusha kwa vile kila nikilala naota nyumba zinabomoka hivyo lazima niangalie jinsi gani ya kuizuia isibomoke ikiwa...
View ArticleMTOTO Adolotea Njavike(1.4) anaomba msaada wa matibabu kutoka kwa wasamaria...
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi.Mama Mkubwa wa Mtoto huyo, Salome Kiegu(35) mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Iyunga...
View ArticleMHE. MWIGULU NCHEMBA AZUNGUMUZA NA WANANCHI WA KATA YA IFAKARA
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu...
View ArticleBENKI YA DUNIA 'YABANA' MSAADA KWA UGANDA
Benki ya dunia.Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.Sheria iliyoidhinishwa...
View ArticleAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA
Kijana Zakaria Ulaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora mjini akituhumiwa kwa kosa la kmbaka mwanafunzi wa Shule ya msingi Gongoni tukio ambalo lilifanyika huko kata ya Ipuli...
View ArticleMTOTO WA MIAKA MINNE APOTEZA MAISHA BAADA YA KUDUMBUKIA CHOONI
Mwili wa mtoto John Mwapwani aliyefariki majira ya asubuhi baada ya kudumbukia kwenye tundu la choo nyumbani kwao kata ya Chemchem eneo la Aly Hassan Mwinyi mtaa wa Sikanda Manispaa ya Tabora.Maelezo...
View Article