Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI WILAYANI RUNGWE YABAINI USAFIRISHAJI WA POMBE KWA NJIA ZA PANYA TOKA...

Na Ibrahim Yassin,RungweSERIKALI wilayani Rungwe mkoani Mbeya imebaini mbinu mpya za usafirishaji wa pombe haramu za viroba  toka nchini Malawi inazofanywa na wafanyabiashara wasio waaminifu ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MTEULE WA CCM KALENGA AKIPOKEA HATI YA USHINDI

Godfrey Mgimwa na Robby Mgimwa wakionesha hati yao ya ubunge baada ya kukabidhiwa leo Mbunge mteule wa jimbo la Kalenga Bw Mgimwa akionyesha dole Sehemu ya msafara wake Boda boda nao walikuwepo AKIWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA YATEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya uani mwa nyumba hiyo.******Na Abdulaziz Video,KilwaMoto umeteketeza nyumba anayoishi mkuu wa wilaya ya Kilwa,mkoani Lindi, Mhe. Abdallah Ulega na kusababisha hasara kubwa ambayo idadi yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUJIKUMBUSHE ,MATOKEO KAMILI YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH:MWIGULU NCHEMBA ZIARANI NCHINI UFARANSA NA UJERUMANI KUHUDHURIA MIKUTANO...

 NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU LAMECK NCHEMBA ZIARANI NCHINI UFARANSA NA UJERUMANI KUHUDHURIA MKUTANO WA ACP NA DEVELOPMENT COOPERATION FORUMNaibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Lameck Nchemba ameanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPECIAL OFFER

Shipping from MidWest has never been this cheaper. Meet the ATL style in Des Moines, Iowa this March 2014. Limited space is available on the First-Come-First-Served. Container Must Leave End of March,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THIS FRIDAY MADDY'S LOUNGE IN BOSTON

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HMT @ Farmers Market, 29th March 2014

Saturday, 29th March 2014 Saturday, 29th March 2014 @ the Oysterbay Shopping Centre, HMT will be participating in the Monthly Farmers Market. Cookbooks will be on Sale. Ingredients Gourmet Services...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKUTANO YA WAZIRI MEMBE MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA MADOLA LONDON, UINGEREZA

 Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa  Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA...

Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA MAGEREZA LATILIANA SAINI MKATABA KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(mbele meza kuu) akitoa utambulisho wa Makamishna wa Jeshi la Magereza(waliopo kushoto)kwa Mwekezaji wa shughuli za Kilimo na Ufugaji...

View Article

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe No. 55 from Luke Joe on Vimeo.

View Article

Samuel Eto'o and Davido: The Meeting

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

View Article

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: TANGAZO LA MISA YA MSIBA

Mwanajumuiya mwenzetu Bw. Obedy Adam Mambya, amefiwa na baba yake mzazi, mzee Adam Mambya. Mzee Mambya amefariki wiki iliyopita tarehe 12 machi, 2014 huko Musoma-Mara Tanzania, baada ya kusumbuliwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA MPIRA WA MIGUU DMV KUENDELEA IJUMAA NA JUMAPILI HII MEADOWBROOK PARK

Timu ya DMVKama unaumanya basi karibu Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland tunajiandaa na mechi ya Muungano kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumapili April 27, 2014 Kombe uwanjani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA YATOKEA MIKESE

tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI AZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE ., KUZINDUA RASMI KAMPENI KESHO JUMATANO

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (aliesimama kulia) akizungumza machache wakati alipofika kuhani msiba wa Mtoto wa Mzee Mashaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Jaji Joseph Warioba aliyosoma kwenye Bunge maalum la Katiba leo

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya Katiba  mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO KUKABILIANA NA MARADHI...

Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live