Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

MWONEKANO WA MITAA YA POSTA JIJINI DSM ASUBUHI YA TAR.13/02/2014

$
0
0
Camera ya Vijimambo Imewahi Asubuhi na Mapema Mitaa ya Posta kusaka habari,Hapa ni Posta Mpya Jijini Dsm asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014,Watanzania wapo kwenye pirikapirika za Kusaka Riziki ya Kila siku.
 Naam,Vikwangua Anga Vinaongezeka Kwa kasi hapa Dsm,Nyuma ya Jengo la NMB HOUSE Posta Mpya kuna Vikwangua Anga Viwili Vimeshapandishwa.
Yes,hapa ni Mtaa ya Maktaba kuelekea Mtaa wa Ohio na Posta Mpya Jijini Dsm.
 Mkapa Tower Posta Mpya.
Picha imepigwa Nikiwa Upande wa Jagwani,Kwa Mbali ni Ghorofa za Kariakoo zinajengwa Kwa kasi sana.
Ujenzi unaendelea wa barabara za Kisasa za Mabasi yaendao kasi,Hapa ni Magomeni Mapipa.
 Camera ya Vijimambo Blog imenasa Jengo la Kwanza linaitwa Uhuru Freights na Jengo la Pili ni VIVA Tower Makutano ya Barabara ya Ohio na Kuelekea Salenda Brigde Road Jijini Dsm.
Picha zote ni Mali ya Vijimambo Blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>