Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CORD KUPAMBANA NA RUSHWA KENYA:WETANGULA

Viongozi wa CORD nchini Kenya wamewataka wabunge wake kuimarisha juhudi zao kama chama cha upinzani na kufanya mabadiliko muhimu katika muelekeo wa nchi kwa wakati huu.Viongozi wa CORD walikutana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO KWA VYOMBO VYA HABARI !

KUTOKANA NA MGONGANO WA RATIBA TUNGEPENDA KUWAARIFU KUWA ILE SHOW YA OMMY DIMPOZ ILIYOKUWA IFANYIKE WASHINGTON DC TAREHE 22 MWEZI WA PILI IMEHAIRISHWA HADI SPRING/SUMMER ILI KUZIPISHA SHEREHE ZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

friday night

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VALENTINE'S DAY NI NEXT DOOR SASA JE UNAPAKWENDA NA WAKO WA MOYONI?

Seas and Savannahs International Kitchen ni kiota kipya cha kukidhi mahitaji yako kwa siku hii ya wapendanayo Ijumaa. Na Jumamosi kutakuwa na party itakayoanza saa 3 usiku hadi saa 8, Dj wetu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete meets British Foreign Secretary William Hague in London today

 President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets British Foreign Secretary William Hague in his London office this evening. The two leaders then held talks on bilateral issues concerning their two countries....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA KINONDONI MNALIONA HILI; KITUO CHA DALADALA CHA BIAFRA CHAGEUZWA...

Uchafu ukiwa nyuma ya kituo cha Biafra na ukitizama picha vizuri kuna abiria amekaa lakini cha kusikitisha nyuma yake kuna uchafu ambao unatoa harufu mbaya na pia kuna wafanya biashara katika eneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA JIONI YA LEO,KUFUNGUA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo,tayari kwa ufunguzi Kongamano la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIAN FASHION DESIGNER BASED IN USA - LINDA BEZUIDENHOUT- FEATURED IN...

Designer Linda Bezuidenhout featured on the cover of ZHe Magazine, February 2014 issue .ZHe magazines goes to 130+ countries such as Nigeria, Cote D'Ivoire, UK, St. Lucia, Kingston JAMAICA, Germany,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji amewapongeza Wakuu wa Mikoa wa Kanda ya Ziwa katika juhudi zao za kuhakikisha Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa linafanyika.Mikoa ambayo itashiriki katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL A AHUDHURIA MAONESHO YA MIALE YA NURU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa onesho maalum la Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA

Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jana.Wanahabari wakimsikiliza William Bambanganya.IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWONEKANO WA MITAA YA POSTA JIJINI DSM ASUBUHI YA TAR.13/02/2014

Camera ya Vijimambo Imewahi Asubuhi na Mapema Mitaa ya Posta kusaka habari,Hapa ni Posta Mpya Jijini Dsm asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014,Watanzania wapo kwenye pirikapirika za Kusaka Riziki ya Kila siku....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR MWENYEJI WA MKUTANO WA NNE WA BODI YA UFUNDI YA NCHI ZA AFRICA...

Afisa Mkuu wa Viwango Jumuiya ya Africa Mashariki Willy Musinguzi akielezea changamoto wanazokabiliana nazo juu uzibiti wa bizaa zisizo na viwango katika Mkutano wa bodi ya ufundi ya nchi za Africa...

View Article

BINTI ASHIKWA WAZIMU KWA KUNYIMWA NGONO?

Huko mjini Glendale (hapa Arizona) katika mwanamke mmoja ameruhusiwa kutoka jela baada ya kuzuiliwa kwa kosa la kuvua nguo zote na kubakia utupu kwa hasira zilizotokana na kukataliwa tendo la ndoa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA MAJENGO YA CHUO CHA POLISI MOSHI CCP CHAUNGUA MOTO.

Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kuhifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA KAMPENI MAALUM YA MABANGO YA KUPIGA VITA UUAJI WA TEMBO...

 Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye...

View Article

Kali TV Diaspora Top Si

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Do you want to Participate in the DICOTA 2014 Convention Preparations?

Diaspora Council of Tanzanians in AmericaDear all,Just a quick update and reminder that the “Convention Topic Input Survey” is closing this coming Fridaynight, February 14th, 2014.We have received...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>