Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

MTIKILA; HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAI KUONA TOKA TUPATE UHURU

$
0
0
MTIKILA; HILI BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI NA WASHENZI SIJAWAI KUONA TOKA TUPATE UHURU

Mchungaji Mtikila leo amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitika na hivi karibuni atalicha bunge hilo maana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabisa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>