Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel leo asubuhi katika ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]![TA1A4740]()

Baadhi ya watendaji wa Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha,uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya watendaji na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha,uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]![TA1A4757]()

Wajumbe wa mkutano wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bi Amina alipotoa maelezo machache kuhusu maabara katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo,ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]![TA1A4760]()
![TA1A4765]()
![TA1A4765_1]()
![TA1A4768]()
![TA1A4850]()





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,(kulia) Waziri,Ofisi ya Rais na Utawala Bora,DK.Mwinyihaji Makame Mwadini na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee,(kshoto). [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]![TA1A4870]()

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]