New York Dream Team (NYATI)

Timu ya DMV
Kuanzia May 23- 25, 2014 Vijimambo Blog inakuandalia bonge la party, siku tatu za kula raha, nyama choma na mechi ya mpira iliyokua ikisubiliwa kwa hamu kati ya New York na DMV ni wiki ya memorial Weekend sasa kufanyika DC jiji la watunga sheria kwa nguvu zote. Tega sikio ratiba kamili itafuata.
IJUMAA May 23, 2014 kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajirii ni Oldskul Night kama wewe ni kijana wa zamani sio usiku wa kukoza Pata Oldskul hapo chini ujikumbushekumbushe mambo yatakavyokuwa
Dj Luke The Mix Master III from Luke Joe on Vimeo.
JUMAMOSI May 24, 2014 Mechi ya Mpira DMV a New York kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku baadae usiku wa White International Party Dress all white
JUMAPILI may 25, 2014 kuanzia saa 10 jioni nyama choma Meadowbrook park na usiku Reggae Night
Three Night and two days to Party address 4306 Georgia Ave, NW, Washington, DC 20011
Tutazidi kuwajuza zaidi kadri siku zinavyokaribia