Trafiki Ikulu waongoza waandishi
Kwa ufupiYawasindikiza wanahabari hadi ofisini kwao kwa msafara wa pikipiki za polisiDar es Salaam. Katika hali isiyo ya kawaida juzi jioni, Ikulu iliwasindikiza waandishi wa habari kurejea ofisini...
View ArticleSHEREHE ZA UZINDUZI WA SHINA LA (CCM) MARYLAND
Uongozi wa shina la (CCM) Maryland unawaalika wanachama wa ccm, wapenzi wa ccm na watanzania wote kwa ujumla kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa shina la (CCM) Maryland. Sherehe zitafanyika Tarehe 27...
View ArticleDIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MTANDAO WA NIGERIA
Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA MAREHEMU ANTHONY SAIMON NJEJE
Marehemu Anthony Simon Njeje Enzi za uhai wakeNi miaka Sita sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa....
View ArticleLEGENDARY FILM PRESENT : ( BARUA YANGU ) Official Trailer
Hii ndiyo Trailer ya Short Film inayoitwa Barua yangu.Barua yangu ni short Film Inayowakutanisha Vijana wa mtaa mmoja wanaolipiziana visasi kwa kuchukuliana wasichana Bila kujua kuwa Wanaingia kwenye...
View ArticleVIJIMAMBO KWA KUSHIRIKIANA NA KWANZA PRODUCTION KURUSHA LIVE MAADHIMISHO YA...
Timu ya Vijimambo kwa kushirikiana na Kwanza Production watarusha LIVE maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya April 26, 2014 kuanzia 10am ET ambayo ni...
View ArticleZitto: Kitakachovunja Muungano si serikali tatu
Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Zitto Kabwe amesema kuandikwa kwa Katiba isiyokubaliwa na pande zote kutasababisha gharama kubwa kuliko zile zinazotajwa za serikali tatu.Akichangia hoja kwenye Bunge...
View ArticleMWANAMUZIKI MAARUFU WA SKYLIGHT BAND AFARIKI DUNIA!!
Rest in Peace Chili Challa tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi ni ngumu bado kuamini nimeishiwa nguvu jamaniSkylight Bandtz na fans kwa ujumla tutakumiss mno.
View ArticleWEE KAKA, PUNGUZA MAJI UGALI UIVE
MUHALI gani mabibi na mabwana hasa mlio katika mfungo wa Kwarezima. Najua mmenisubiri kwa hamu nami siwezi kuzipunguza raha zenu bali kuziongeza.Nashukuru kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo...
View ArticleJUST IN:UKAWA WATISHIA KUANDAMANA
#HABARI UKAWA watishia kuandamana Umoja wa viongozi wa katiba ya wananchi (UKAWA) umetishia kuanzisha maandamano makubwa hadi ikulu, endapo Rais nchini na Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha daftari la...
View ArticleAJALI DAR,DALADALA YAMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU URAFIKI DAR
MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar leo asubuhi aligongwa na gari aina ya Toyota Coaster inayofanya shughuli za daladala kwenye barabara za Morogoro jijini...
View ArticleMEMORIAL WEEKEND EXRAVAGANZA THREE NIGHTS TO PARTY
New York Dream Team (NYATI)Timu ya DMVKuanzia May 23- 25, 2014 Vijimambo Blog inakuandalia bonge la party, siku tatu za kula raha, nyama choma na mechi ya mpira iliyokua ikisubiliwa kwa hamu kati ya...
View ArticleMKURUGEZI WA HALMASHAURI AACHISHWA KAZI HABARI KAMILI HII HAPA
by nasanyo fortnineKatibu Mkuu, Jumanne Sagini. Serikali imemwondoa madarakani Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Hilda Lauwo, na sasa anakwenda kuwa mshauri wa masuala ya kijamii katika...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI KATAVI
Kattibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi ambapo nyumba 70 zimekamilika kati ya...
View ArticleMAZOEZI YANAENDELEA KESHO IJUMAA, JUMAMOSI NA JUMAPILI MEADOWBROOK PARK MECHI...
Timu ya DMVMazoezi yanaendekea lkesho Jumapili kama kawaida.Kama unaumanya basi karibu Meadowbrook Park, Chevy Chase, Maryland tunajiandaa na mechi ya Muungano kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara...
View ArticleKIKAO CHA 25 CHA BODI YA TAIFA YA PAROLE CHAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kulia) akichangia mjadala wakati wa kupitia mapendekezo ya Wafungwa wanaopendekezwa kuachiliwa na mpango wa Parole kabla ya kufungwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA RASMI TUZO YAKE YA KUWA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akifurahia Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika aliyokabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...
View ArticleMJENGWABLOG IMERUDI HEWANI SAA KADHAA ZILIZOPITA
MJENGWABLOG SASA IKO HEWANI . UNAWEZA KUITEMBELEA KUPITIA http://mjengwablog.com/POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI.
View ArticleUZINDUZI WA GLOBAL TV ONLINE WAFUNIKA
Kutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana.Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa wakati...
View ArticleWATU WATATU WAKAMATWA NA BHAGI KILO 133.5 MKOANI DODOMA.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David A. Misime - SACP akiongea na wanahabari Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu watatu kwa kosa la Kupatikana na Bhangi kiasi cha Kilogramu 133.5 yenye...
View Article