Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

2ND ANNUAL TANZANIAN LADIES NIGHT - USA June 14th

$
0
0

Tanzanian Ladies Night-U.S.A from IskaJoJo Studios on Vimeo.
         Martin's Crosswinds Greenbelt - hapa ndipo itafanyika shughuli yenyewe.

Kina Dada na kina Mama wakati umewadia wa kukutana tena. Karibuni Sana kwenye Usiku utakaojaa mambo ya kuhamasisha maendeleo ya Wanawake, Burudani, Kufahamiana na Kuserebuka. Njoo ujionee usingoje kuambiwa. Tiketi hazitauzwa mlangoni. Kwa kupata tiketi yako

1) Mpigie mmoja wa akina dada wa TANO ladies au

2) Nenda Online - Bofya Pay Now button hapo chini halafu PayPay wata process order yako
(TANO Ladies hawachukui information za mtu yoyote, kila kitu kinafanywa na PayPay vile vile tafadhali wajulishe TANO Ladies baada ya kununua ticket online kwa kumpigia mmoja wao # zipo hapo chini)
- Kama hauna PayPal account, chagua Pay with a debit or credit card, or Bill Me Later ili uweze kulipa kwa kutumia credit card.
Tafadhali tupigie kwenye mojawapo ya namba hizi:
(202)-957-2157, (703)-624-2409, (301)-793-2833, (301)404-6529 au (301)433-3411           

.."Mabadiliko ni Sasa"..

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45981

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>