KINANA AKAGUA DARAJA LA MTO MBUTU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mhandisi Makoye Luhya wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la mto Mbutu ambalo litasaidia zaidi ya watu 130,000 .Daraja hilo pia litasaidia...
View ArticleKESHO NDIO KESHO 2014 SUSAN G. KOMEN GLOBAL RACE FOR THE CURE USIKOSE
This year Team Tanzania is participating again in the Susan G. Komen Global Race for the Cure in Washington D.C. The race will take place on Saturday, May 10, 2014 at 7:00am. Please support Team...
View ArticleMkutano wa Maombi
Tunapenda kuwakaribisha katika mkutano wa maombi kwa ajili ya familia, wagonjwa, makanisa, huduma, na shida mbali mbali. Jitolee muda wotote kati ya masaa haya yaliyopo kadri ya nafasi yako....
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA KUDHIBITI...
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya...
View ArticleMOTHER'S DAY SPECIAL JUMAPILI HII @ SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC KUANZIA...
BIRYANI YA MBUZI ( GOAT BIRYANI) PIA SAMAKI WA MCHUZI WA...
View ArticleAFRO-CARRIBEAN INTERNATIONAL NIGHT @ SAFARI CLUB KAMA KAWA USIKOSE
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB JUMAMOSI MAY 3, 2014 KIOTA CHENYE VIONJO VYA MUZIKI WA KITANZANIA NI USIKU WA KIMATAIFA WA AFRO- CARIBBEAN KARIBUI SANA NA TUNASHUKURU KWA SAPOTI...
View ArticleFinally Kenya Gets Its Own “Diamond Platnumz”
It’s without a doubt that Diamond Platnumz has his smooth Bongo game in the clutch. The young phenom is always being showered with praises, and admiration thanks to his soft sentimental songs.But that...
View Article2ND ANNUAL TANZANIAN LADIES NIGHT - USA June 14th
Tanzanian Ladies Night-U.S.A from IskaJoJo Studios on Vimeo. Martin's Crosswinds Greenbelt - hapa ndipo itafanyika shughuli yenyewe.Kina Dada na kina Mama wakati umewadia wa kukutana tena....
View ArticleKINANA ASEMA KUNA MENGI YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WANANCHI IGUNGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko. Katibu wa NEC...
View ArticleChenji ya Rada Yatumika Kununua Vitabu Visivyo na Ubora
Na Mwandishi maalumu - HakiElimu Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha...
View ArticleUtekwaji wa Wasichana Nigeria…..Wapi Sauti ya Waafrika?
Na Mwandishi wetuWalio wengi tumesikia na kusikitiswa na habari za utekwaji wa wasichana wanafunzi nchi Nigeria. Wengi tunakubaliana kwamba ni jambo baya, la kusikitisha na inabidi likemewe kwa nguvu...
View ArticleANGALIA BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI
Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache...
View ArticleJUMUIYA YA WATANZANIA DMV
TANGAZO MAALUM:Kamati ya Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV imeundwana imeanza kuandaa utaratibu na mchakato wa kuwachagua viongozi wetu. Watanzania wote tunahamasishwa tushiriki kwa...
View ArticleGRAND TANZANIA FASHION SHOW AND EXHIBITIONS GRACE CELEBRATIONS OF THE 50TH...
KWA VIDEO ZAIDI BOFYA SOMA ZAIDI
View ArticleTiketi za ndege ziliwekewa ‘cha juu’ mara 16 serikalini
Dodoma. Tuhuma nzito za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka zimezidi kuibuliwa katika ofisi nyeti za Serikali, ikiwamo ya tiketi za ndege kuuzwa kwa bei kubwa mara 16 zaidi ya nauli halisi.Hayo yamo...
View ArticleBILLIONAIRE WA KWANZA KWENYE HIP HOP MUSIC DR DRE AJAZWA MAPESA NA APPLE
Dr Dre na smile la pesa baada Dr Dre ni Billionaire wa kwanza wa Marekani kwenye music maalufu wa hip hop na alieanzanisha head phone zinazojulikana kwa jina lake la Dr Dre beats na kujipatia wapenzi...
View Article