KINANA KUANZA ZIARA WILAYA YA NZEGA MKOA WA TABORA LEO
Kinana awatembelea wafanyabiashara soko kuu Igunga Azungumza nao na kujua changamoto zaoAsisitiza viongozi wengine kuwa karibu na wananchi na kuwasikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...
View ArticleBABY SHOWER YA BARKE YAFANA, GREENBELT, MARYLAND
Barke Idarous Sebo akiwa amepozi kwenye Baby shower yake iliyofanyika Greenbelt, Maryland siku ya Ijumaa May 9, 2014 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Juu na chini ni Barke Idarous Sebo akiwa...
View ArticleFedha za IPTL kaa la moto
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha 2014/15, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin...
View ArticleBARAZA LA MAWAZIRI KUVULI HILI HAPA
Nafasi ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Ubungeni iliyokuwa ikishikiliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe itatangazwa baadaye Freeman Mbowe,Dodoma. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,...
View ArticleUsikose Reggae Time ya Kwanza Production (9:00pm EST)
Mubelwa Bandio ndani ya Studio namba 2 ya Kwanza ProductionUsikose kusikiliza Reggae Time kutoka Kwanza Production kuanzia saa tatu usiku kwa saa za Marekani Mashariki (9:00pm EST)Katika kipindi cha...
View ArticleKUTUNZA WAZEE NYUMBANI TANZANIA NI JUKUMU LA NANI, WAZEE WASIO KUWA NA WATOTO...
Andrea ni mwanafunzi kutoka Swiss aliyeishi Tanzania akifuatilia matunzo ya Wazee wetu wa Kitanzania wanayoyapata wakiwa nyumbani, sasa hivi Andrea yupo Marekani na alijaribu kukutana na baadhi ya...
View ArticleDISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH ALLOWS TO TRIAL PIRATES...
From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Chargé d´Affaires a.i. Hans Koeppel of the German Embassy in...
View ArticleNEW YORK SOCCER TEAM (NYATI) MAZOEZI LEO JUMAMOSI UWANJA WA EUCLID BROOKLYN,...
Mazoezi kujiandaa na mechi na DC Memorial weekend. Vijana wa New York mazoezi kama kawa kama dawa leo hii, siku hiyo moto utawaka ndani ya DC. Napia Captain anaomba majina ya watu wanaotaka kwenda DC...
View ArticleMOTHER'S DAY COMMUNITY COCKTAILS/DINNER , DANCE
MOTHER'S DAY COMMUNITY COCKTAILS/DINNER , DANCE - EventDate: May 10thTime: 8pm until DawnVenue: 311 Huguenot Street, New Rochelle, NY, United StatesCommunity and friends come celebrate Mother's Day...
View ArticleUSAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI...
Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo Vuga kwa takribani Masaa...
View ArticleREGGAE SUNDAY THIS SUNDAY @ SAFARI FOR MOTHER'S DAY
Safari Club inakukarikisha kwenye usiku wa Reggae leo Jumapili May 11, 2014 na kila siku ya Jumapili kiingilia na Bure karibu na mwambie na mwenzio
View ArticleWAZIRI NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI YA KUSAIDIA KAMPENI YA KUTOKOMEZA MAJANGILI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi...
View ArticleRais Kikwete atembelea kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant...
View ArticleMATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC
Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania...
View Article