Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari ya Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki kuelekea Tanzania

 Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 imekamilika. Mpaka sasa kiasi cha dolla 20,000...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KONGO ATETA NA AKINA SAMATTA NA ULIMWENGU, AWAPA MANENO HAYO...

Rais Kikwete akiwa na Samatta kulia na Ulimwengu kushoto mjini Kinshasa leoRAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amewatembelea washambuliaji wawili Watanzania wanaocheza TP...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKONGWE WALIOWAHI KUTAMBA WAKIWA REAL MADRID KUTOA TANZANIA

REAL Madrid ya Hispania itafanya ziara Tanzania na lini watakuja itajulikana kesho katika Mkutano maalum na Waandishi wa Habari wa kutaja rasmi ziara ya klabu hiyo.BIN ZUBEIRY inafahamu Kampuni ya...

View Article

Nick wa Pili akiongelea wimbo wake mpya 'Staki Kazi'

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA (SIJATOA WIMBO) KWANINI KASEMA HIVYO JITIRIRISHE

Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA KINANA AWATAKA WATENDAJI WA SERKALI KUFANYA MAAMUZI HARAKA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nzega njini kwenye mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Parking hapo Nzega ambapo aliitaka serikali kupunguza vikwazo na maamuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA MPYA INAHITAJIKA..

Klabu ya Dar es salaam Young Africans yenye maskani yake kwenye mitaa ya twiga na jangwani jijini Dar es salaam, tangu kumalizika kwa ligi kuu msimu huu imekuwa ikipitia mambo mengi.Kati ya hayo,yapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lugola: Serikali ya CCM inaendeshwa kisanii

“Hakuna lolote humu ni blabla tu… Mheshimiwa Zambi wewe ulikuwa ‘backbencher’ (kiti cha nyuma) kama mimi ulikuwa unapiga muziki kama kasuku juu ya wizara hii, leo unashirikiana na waziri wako unakuja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AHIMIZA VIONGOZI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA WANACHI ITOBO NZEGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Itobo katika Jimbo la Bukene na kuwaambia  waimarishe mahusiano na viongozi wao ikiwa pamoja na kuwaamini katika utekelezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOOK OF THE DAY

Digna Sandu from Georgia, USADress Designed by LB (Linda Bezuidenhout)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIGNA KULLAYA'S SEND OFF PARTY, BELTSVILLE, MARYLAND

Digna Kullaya (kulia) akiingia ukumbini akiwa na mpambe wake ambaye pia ni dada yake kwenye sherehe ya kumuaga kama bi harusi mtarajiwa iliyofanyika siku ya Jumamosi May 10, 2014 Beltsville,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII IMETOKEA TANZANIA,NYATI AJIOKOA KATIKATI YA SIMBA WENYE NJAA NA WATALII...

By Wills RobinsonPublished: 8 May 2014Terrified tourists watched helplessly as a pride of deadly lions pounced on a buffalo. But during the vicious attack, the animal miraculously managed to escape....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chama cha ANC chapata ushindi mkubwa

Rais wa Africa kusini Jacob Zuma asherehekea ushindi wa chama cha ANC katika uchaguzi mkuu uliokamilika.Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Manchester City mabingwa

By Israel Saria on May 11, 2014Hatimaye Manchester City wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa England katika siku ya mwisho ya Ligi Kuu, ambapo walikuwa wakihitaji pointi moja tu kutawazwa wafalme.Vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THANK YOU MOM FOR EVERY THING THAT YOU DO

To All The Mothers Out There Whether you Are A Past, Present Or Soon To Be Moms May Your Day Filled With Love, Joy And Laughter

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANJI AUNGURUMA

Mwenyekiti wa Young Africans Bw Yusuf Manji akiongea na wanachama, wazee na waandishi wa habari leo makuu ya klabu ya YangaMwenyekiti wa Young Africans Bw Yusuf Manji amesema kuondoka kwa wachezaji wao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY

Benja Bundi wa St Paul Minnesota  Vijimambo timu wish you luck, happiness and riches today, tomorrow and beyond.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA WILAYA YA NZEGA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Jimbo la Bukene wilayani Nzega ambapo aliwaambia Katiba ni jambo zuri,Katiba ni muhimu kwa nchi lakini si mwarobaini wa matatizo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAPIGWA MARUFUKU BUNGE LA BAJETI.

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti.Alisema hayo juzi bungeni baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara....Akionesha alama ya tatu ambayo alisema maana yake ni pointi tatu ni muhimu kila mechi....Mashabiki wake wakiserebuka kwa furaha.Mbwembwe za bodaboda...

View Article
Browsing all 45981 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>