SUNDAY, JUNE 08th, 2014
Ndugu yetu Erick Elisha Bahunde ambaye ni mwanajumuiya mwenzetu, kada wetu, baba mzazi na mcheza mpira wetu, alipata ajali akiwa kazini na kukatika miguu yake yote miwili pamoja na mkono wa kushoto mnamo February 2014.
Ndugu, jamaa na Marafiki zake wakishirikiana na Jumuiya ya Watanzania hapa DMV wameandaa harambee ya kumchangia Ndugu Bahunde ili aendelee kujihudumia na kuihudumia familia yake.
“AJALI HAINA KINGA NA HUJAFA HUJAUMBIKA”
WATANZANIA WOTE MNAOISHI DMV MNAOMBWA KUHUDHURIA HARAMBEE HII
SIKU NA TAREHE |
JUMAPILI TAREHE 8 JUNE 2014 KUANZIA SAA 5:00PM
VENUE
10200 SLIGO CREEK PARKWAY, SILVER SPRING, MD 20902
Kwa wale wa mbali tunaomba mtume michango yenu kwa kutumia Checking Account # 3900681515 Wells Fargo Bank Jina: Elisha Bahunde.
Amos Cherehani 240-645-2131
Faraja Isingo 301-592-7581