TIMU YA NEW YORK YAMALIZA MAZOEZI KWA USHINDI KUDUCHU WA GOAL MOJA TAYARI KWA...
Hiki ndiyo kikosi cha kwanza cha ( NYATI ) kitakacho iangamiza DC jumamosi hii ya Memorial weekend. DC wanajigamba na kusema kufungwa na New York ni sawa na dagaa kummeza paka, Na New York wana sema...
View ArticleSAHIHISHO:JESSICA MUSHALA NA ISMAIL MWILIMA NDIO WAGOMBEA WA NAFASI YA KATIBU...
Jana Vijimambo iliandika Mama Jessica Mushala ndiye katibu mkuu mpya wa CCM DMV habari hiyo ilikuwa makosa na usahihi ni Mama Jessica Mushala na mwenyekiti wa Vijana Ismail Mwilima ndio watakaokuwa...
View ArticleBackstage photos Making ya HAINA NOMA -Julio ft chege chigunda na Madee
Juu na chini ni picha za backstage wakati wakutengeneza video ya Julio ft chege na madee...Haina Noma...iliyotegenezwa na adam Juma wa Next Level,
View ArticleMAREHEMU AMINA ZAHARA SHABANI MTENGETI AZIKWA LEO KISUTU, DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya...
View Article2ND ANNUAL TANZANIAN LADIES NIGHT - USA June 14th
MWISHO WA MAUZO YA TIKETI NI LEO TAREHE 01 JUNE.VILE VILE NAFASI ZA KU SPONSOR BADO ZIPO-Tanzanian Ladies Night-U.S.A from IskaJoJo Studios on Vimeo. Martin's Crosswinds Greenbelt - hapa ndipo...
View ArticleCELEBRATION OF THE LIFE OF MURIEL KACHUCHURU
Muriel Kachuchuru enzi ya uhai wakeMr AugustineTraore kwa niaba ya Kachuchuru famill akitoa shukurani kuwashukuru wageni ndugu, jamaa na marafiki waliojuuika pamoja na familia ya Kachuchuru katika...
View ArticleKWA WALE WANAOMTAKA FABREGAS DAU LAKI HILI HAPA UBAONI
David Villa atangaza kuondoka AtleticoWachezaji wawili mahiri wa Hispania, Cesc Fabregas (Barcelona) na David Villa (Atletico Madrid) wanatarajiwa kuhama klabu zao msimu huu wa kiangazi.Wakati...
View ArticleHARAMBEE YA KUMCHANGIA NDUGU ERICK BAHUNDE ALIYEPATA AJALI NA KUKATIKA MIGUU...
SUNDAY, JUNE 08th, 2014Ndugu yetu Erick Elisha Bahunde ambaye ni mwanajumuiya mwenzetu, kada wetu, baba mzazi na mcheza mpira wetu, alipata ajali akiwa kazini na kukatika miguu yake yote miwili pamoja...
View ArticleUtata kuhusu hali ya mama aliyeasi dini
Meriam na watoto wake kizuizini SudanMumewe mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Suudan kwa kosa la kuasi dini ya kiisilamu, ameambia BBC kuwa hajafahamishwa kuhusu mpango wa kumwachilia mkewe.Ripoti...
View ArticleKashfa saba nzito nchini
Rais Jakaya KIkwete Kwa ufupiUchunguzi wa gazeti hili umebaini taifa kukumbwa na kashfa mbalimbali za upotevu wa fedha au kuanzisha mipango ambayo utekelezaji wake ulisababisha maumivu kwa wananchi...
View ArticleBIBI WA 'MTOTO WA BOKSI' ALIMLILIA MJUKUU WAKE
Bibi wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi....
View ArticleMAREHEMU GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KWAO KISUMU NCHINI KENYA.
Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson...
View ArticlePicha Na Video, Cristiano Ronaldo Alivyowasili Kujiunga Na Timu Ya Taifa Ya...
Kama ambavyo unafahamu kuwa timu za mataifa tofauti zimeshaanza kujianda na michuano ya kombe la dunia itakayofanyika Brazil mwaka huu. Hizi picha ni za mchezaji Cristiano Ronaldo akiwasili kwenye...
View ArticleLinex ahoji mchango wa Sugu kwenye Muziki wa Tanzania
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye ni mmoja wa wanamuziki wakongwe Tanzania hajamshawishi Linex Sunday Mjeda ambaye amehoji mchango wake kwenye muziki.Linex ameandika mtazamo wake kupitia...
View ArticleJUSTIN BIEBER ATUHUMIWA KUTUMIA NENO LA KIBAGUZI
Picha ya video inayomuonesha msanii Justin Bieber akitumia neno la kibaguzi dhidi ya watu weusi imepatikana na gazeti moja. Picha hiyo iliyopatikana na gazeti la The Sun, ilipigwa mwaka 2011 wakati...
View ArticleVANESSA MDEE AFUNGUKA KWANINI ALIACHA KUFANYA KIPINDI CHA THE ONE SHOW,...
Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake Soma...
View Article