Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Browsing all 45972 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madai ya ufisadi dhidi ya FIFA

Kura iliyoipa ruhusa Qatar kuandaa michauano ya kombe la dunia 2020Madai mapya ya ufisadi yameibuka dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kuhusiana na utata uliosababisha taifa la Qatar kupewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF yashauriwa kumtembeza Mart Nooij mikoani.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetakiwa kumtembeza Kocha wao wa Taifa, Mart Nooij mikoani, ili afahamiane na wadau sanjari na kutambua vipaji vilivyopo Tanzania.Katibu wa zamani wa TFF,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tathmini ya ufinyu wa bajeti kwa dawa, vifaa tiba na vitendanishi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI01 – 06 - 2014TATHMINI KUHUSU UFINYU WA BAJETI INAYOTENGWA KWA AJILI YA DAWA MUHIMU, VIFAA TIBA NA VITENDANISHIUkosefu wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaa tiba katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbwembwe Malawi -Rais Mpya kushika doria

Mutharika kuapishwa kama rais mpya malawiViongozi wa Mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kumkabidhi madaraka rais mpya wa Jamhuri ya Malawi hii leo.Rais mpya Profesa Peter Mutharika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

QUIZELAH NTAGAZWA AMPOROMESHEA BONGE LA SURPRISE DINNER DESIGNER LINDA...

Mwanamitindo Maarufu mTanzania Linda Bezuidenhout anaeishi jimbo la Atlanta, USA Siku ya Jumamosi May 31, 2014 alijikuta kwenye mshangao mkubwa uliomtoa machozi kwenye Surprise Dinner alioandaliwa bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO

Watoto wa Kitanzania wakicheza nje ya mkutano wa neno la Mungu uliofanyika leo DMV

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA NENO LA MUNGU DMV LEO JUMAPILI

 Rev. Dr. Daniel Moses Kolola akitoa neno la Mungu kwa wakaazi wa DMV leo Jumapili June 1, 2014 katika hotel ya Clarion iliyopo College Park, Maryland kwenye mkutano wa neno. ambao siku ya Jumamosi May...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA KIJACHO NA MUMEWE KAMA LUBA

Mr & Sebo wakiwa kwenye TAMCO family day iliyofanyika leo Jumapili June 1, 2014 Silver Spring, Maryland.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMCO FAMILY DAY YAFANYIKA DMV

Afisa Ubalozi Abbas Missana (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja toka kushoto Rais wa DMV Idd Sandaly, Ally Bambino, Mussa Linga, Ysuf na Abdul Sebo wakiwa kwenye TAMCO family day leo Jumapili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini TanzaniaLakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi3 Juni 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanne kati ya watano wanaamini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA KUMZIKA MAMA YAKE MZAZI JANA.

Tumempumzisha mama kwenye nyumba yake ya milele,jirani na alipopumzishwa baba yake mzazi. Nawashukuru sana nyote kwa salam zenu za pole. Nawashukuru nyote mlioweza kufika kigoma kumsitiri mama. Sina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU KUWABANA UKAWA KWENYE SWALA LA FEDHA BUNGE LIJALO LA KATIBA

Kwa ufupiNi mpango wa kudhibiti Ukawa wasipewe fedha endapo wataamua kususia tena vikao vya Bunge la KatibaIringa. Naibu Waziri wa Fedha na naibu katibu mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Nchemba amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MKUTANO WA MWAKASEGE DMV

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIA NA NYAMA CHOMA ISITUTOE ROHO JAMANI!

Mmh haya acha nikubali yaishe sipendi ubishi wa kijinga mie, eti kila kitu na wakati wake, nikibisha utasema najifanya najua kila kitu, lakini ukweli unabaki palepale vyote vina wakati lakini si...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge:Waziri anajipendelea bajeti ya maji jimboni kwake

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, akisikiliza michango ya wabunge waliochangia bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 bungeni mjini Dodoma jana.Baadhi ya wabunge wamemshambulia Waziri wa Maji,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa

Rais wa Malawi,Peter Mutharika .PICHA|MAKTABADar es Salaam. Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive...

View Article

CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKIHUTUBIA WAKAZI WA MERERANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHINDI 14 WAMEKAMATWA DAR, WAMEINGIA KUFANYA BIASHARA HARAMU

Askari wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO, MAMIA YA WATU WAJITOKEZA...

 Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra.Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA SAFARI CLUB KURUKA RHUMBA NI KUANZIA IJUMAA, JUMAMOSI NA JUMAPILI REGGAE...

LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB LEO IJUMAA JUNE 6, NA JUMAMOSI JUNE 7  , 2014 KIOTA CHENYE VIONJO VYA MUZIKI WA AFRIKA MASHARIKI NI USIKU WA KIMATAIFA WA AFRO- CARIBBEAN KARIBUI...

View Article
Browsing all 45972 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>