Mkazi wa mtaa wa Boma Road, Khadija Amri (55) akiongea kwa jazba mara baada ya kuwaona watuhumiwa wa kesi ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro.
Waandishi wa habari wakimchukua picha kwa mama mkubwa Nasra, Mariamu Saidi (38) mara baada ya kufikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake.
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake, Omari Mtonga (30) akifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro