Kocha Marcio Maximo(katikati) akiwa na Kocha msadizi wake pia ni Mbrazili, Leornado Leiva Martins (kulia).
Wanahabari wakimsikiliza Kocha Mkuu wa Yanga Marcio Maximo (hayupo pichani)
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema ataanza kazi rasmi klabuni hapo Jumatatu, pia msaidizi wake Mbrazili atakuwa na kazi ya kukuza vipaji.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)