MWANACHUO WA RUCO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.
Imagine guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama...
View ArticleMABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI, DMV
Kamati ya Uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwataarifu kuwa uchaguzi wa Jumuiya utakuwa August 09, 2014 na tarehe ya mwisho ya kulipia ada ni August 7, 2014.Tunaomba...
View ArticleVOTING FOR MISS AFRICA USA 2014 HAS OFFICIALLY BEGUN, PLEASE VOTE FOR JOY...
Miss Tanzania USA Pageant Joy KalemeraI just wanna let you know that voting for Miss Africa USA 2014 has officially begun. Please share the link (below) with your subscribers for their support. Voting...
View ArticleUJERUMANI YAITUNGUA MAREKANI GOLI 1 KWA BILA KATIKA KOMBE LA DUNIA
Thomas Muller mfungaji bao la UjerumaniBaada ya mvua kubwa iliyonyesha Recife na kusababisha mafuriko kutishia kuahirishwa kwa mechi baina ya Ujerumani na Marekani, hatimaye hali ya anga ilikuwa murwa...
View ArticleSerikali ya China yaikabidhi TBC gari la matangazo lenye thamani ya Tsh....
Na Ismail Ngayonga, MAELEZOSERIKALI ya Jamhuri ya Watu imeikabidhi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) msaada wa gari la kurushia Matangazo lenye thamani ya Tsh. Bilioni 6 ili kuboresha utendaji wa...
View ArticleBrazil 2014: Uwanja wa Taifa bado gumzo Kombe la Dunia
Uwanja wa Taifa wa Tanzania unaosifiwa na watu wa Brazil kuwa una ubora wa Kimataifa. Picha na Maktaba Kwa ufupiTelevisheni maarufu ya Globo Sports ya Brazil ilionyesha moja kwa moja mechi hiyo na...
View ArticleKAKA AFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI NA DADA YAKE TABATA JIJINI DAR
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio...
View ArticleRaia Oman mbaroni kwa dawa za kulevya
Wakati jana ilikuwa siku ya kupinga dawa za kulevya duniani, Mtanzania mwenye asili ya Oman, Hafidh Hamood Al Ghfri (37) ametiwa mbaroni na maofisa usalama wa Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleLipumba,Maalim Seif,Duni ni noma
Wakati Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ukiwarejesha madarakani Profesa Ibrahim Lipumba, na Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kishindo, Waziri wa Afya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)...
View ArticleMAXIMO AZUNGUMZA, KUANZA KAZI JUMATATU
Kocha Marcio Maximo akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo katika klabu ya Yanga.Kocha Marcio Maximo(katikati) akiwa na Kocha msadizi wake pia ni Mbrazili, Leornado Leiva Martins...
View ArticleURAIS DMV, USA: LIBERATUS MWANG'OMBE "LIBE" KUUNGURUMA JUMAMOSI JUNE 28, 2014
Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 alasiri (4pm) Meadowbrook Park 7901 Meadowbrook Lane Chevy Chase, MD 20815Maswali: Alawi Omari/Campaign strategist 301 339 3765 Liberatus mwangombe "Libe"/...
View Article‘SOMETIMES’ UONGO UNAHITAJIKA KWENYE MAPENZI!-3
AFYA yangu ni njema na ninaendelea vyema na pilikapilika za kuhangaikia mkate wa kila siku. Sina shaka nawe rafiki yangu utakuwa mzima wa afya njema na unapambana na maisha.Kama ndivyo ni jambo zuri la...
View ArticleDk Salim: Sina mpango na urais 2015
“Ni vizuri viongozi wakaandaliwa, isiwe mtu anaibuka tu anagawa hela halafu anashinda. Anatakiwa mtu atakayeweza kushughulikia matatizo ya Watanzania. Watanzania ni wapole na wavumilivu lakini...
View ArticleWanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba
Wanachama Chama cha Wananchi (CUF) wakinyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kuwakubali wagombea kwenye mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaam juzi. Picha Rafael LubavaDar...
View ArticleKARIBUNI SAFARI CLUB LEO IJUMAA, JUMAMOSI
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB INVITES YOU THIS FRIDAY, SATURDAY AND SUNDAY REGGAE NIGHT @ CLUB SAFARI WASHINGTON, THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM...
View ArticleOFISA WA KAMPUNI YA TIGO AKUTWA AKIWA AMEKUFA CHUMBANI KWAKE MKOANI ARUSHA
MFANYAKAZI wa Kampuni ya simu ya Tigo, (MIC T Ltd.), jijini hapa, Mwita Makore, amekutwa amekufa nyumbani kwake maeneo ya Kimandolu huku akiwa na kamba za viatu shingoni kuashiria kwamba alijinyonga...
View Article