Quantcast
Channel: VIJIMAMBO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45918

MSANII METTY KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA "NAJUA" JUMATANO HII

$
0
0
Wmbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.


Wimbo huo amashirikishwa msanii Conrad anaekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava ikiwa wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya watapata nafasi ya kumfahamu msanii huyo.
Najua ni wimbo uliotayarishwa katika studio mpya za kisasa Centric Records chini ya producer Eng.Davy Machords.


Metty amewaomba wadau na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kutoa ushirikiano wa nguvu katika kazi zake za muziki.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45918

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>